Kumbe bei ya sukari Kenya ni maradufu ya Tanzania

Dr Akili

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
4,953
4,326
Bei ya sukari nchini Kenya ni USD 2.5 per kilo sawa na TSh 6,000 kwa kilo.

Source: ITV taarifa ya habari saa 2 usiku leo.

My take: Bei ya sukari hapa kwetu ni TSh 2,500 lakini kuna mijitu imekuwa imekuwa ikitoa mapovu kulalamikia bei hii na kuiona kama ni kick ya kisiasa dhidi ya serikali.
 
Raisi wako alisema alipoingia Madarakani Sukari ilikuwa ni 5,000/=

But nchi yako mifano yako unaifananisha na Kenya? au Sijakuelewa... JF ni for Great Thinker utambue hilo. hata unayemsifia akikuona atakuignore maana huna changamoto utakayompa zaidi ya kumshusha kiwango... Tambua Rais pale anapokosolewa ndipo hufahamu matatizo yake ila kusifia uzembe utaachwa peke yako.
 
Bei ya sukari nchini Kenya ni USD 2.5 per kilo sawa na TSh 6,000 kwa kilo.

Source: ITV taarifa ya habari saa 2 usiku leo.

My take: Bei ya sukari hapa kwetu ni TSh 2,500 lakini kuna mijitu imekuwa imekuwa ikitoa mapovu kulalamikia bei hii na kuiona kama ni kick ya kisiasa dhidi ya serikali.
Sasa wewe uchumi wa KENYA, Ni sawa na wa Tz?? Mbona husemi bei ya sukari UGANDA ni bei gani??? Elimu elimu.
 
Kenya sijawahi kuona kitu nafuu ukilinganisha na Tanzania. Mpaka mademu 1500ksh. Per mshindo wakati bongo 10,000tsh. (500ksh.) Per mshindo
 
Bei ya sukari nchini Kenya ni USD 2.5 per kilo sawa na TSh 6,000 kwa kilo.

Source: ITV taarifa ya habari saa 2 usiku leo.

My take: Bei ya sukari hapa kwetu ni TSh 2,500 lakini kuna mijitu imekuwa imekuwa ikitoa mapovu kulalamikia bei hii na kuiona kama ni kick ya kisiasa dhidi ya serikali.

Umefanya uchunguzi au umechukua kama ilivyo ila kwa maarifa ya kawaida sidhani kama ni kweli......
 
Bei ya sukari nchini Kenya ni USD 2.5 per kilo sawa na TSh 6,000 kwa kilo.

Source: ITV taarifa ya habari saa 2 usiku leo.

My take: Bei ya sukari hapa kwetu ni TSh 2,500 lakini kuna mijitu imekuwa imekuwa ikitoa mapovu kulalamikia bei hii na kuiona kama ni kick ya kisiasa dhidi ya serikali.
"Akili ninywele".
Kumbe tukinunua bidhaa hatakama itaonekana ni ghali tunatakiwa kuangalia nchi jirani nishing ngapi kama kwao nibei juuzaidi ya hapa tukenue menotu nakununua bilakuhoji.
 
Kwa maana hii Marekani Sukari inaweza kuwa angalau laki moja kwa kilo kuendana na uchumi wa Marekani na wa Tanzania??
.
Bei ya sukari Marekani (state ya hapa) ni $1.53 (Tsh 3672) na hii ni kwa uzito wa 4lb (1.81Kg). Kwahiyo bei ya Tz (Tsh 2,500) /Kg siyo mbaya, Mh. Rais anafanya kazi nzuri.

sukari.jpg
 
View attachment 636117

Sasa Mkuu hiyo sukari ya marekani kwanza package yake ipo poa ila sie sukari yetu ni ya kupimiwa pia hiyo ni zaidi ya kilo moja na nusu..... ambapo kwa bei yako uliyoweka ingekuwa TZS 3750+, pia quality ya sukari ipo juu kuzidi sukari yetu.
 
kilo moja ya kupima na ile iliyofungwa vizuri haina tofauti, kilo ni kilo tuu.

Lakini hata ukiikokoto hiyo bei ya $1.53 kwa 1.81Kg unapata sawa $0.83 kwa 1kg ambayo ni sawa na Tsh 1992 kwa 1kg ambayo siyo mbaya sana na hasa ukiangalia uchumi wetu ulivyo mdogo.

Kinachofanya bei ya vitu kuwa ndogo Marekani ni pamoja na bei ya mafuta kuwa chini, kwahiyo kufanya gharama za usafirishaji wa bidhaa kuwa chini na hivyo kushusha bei ya vitu mbalimbali.
 
Bei ya sukari nchini Kenya ni USD 2.5 per kilo sawa na TSh 6,000 kwa kilo.

Source: ITV taarifa ya habari saa 2 usiku leo.

My take: Bei ya sukari hapa kwetu ni TSh 2,500 lakini kuna mijitu imekuwa imekuwa ikitoa mapovu kulalamikia bei hii na kuiona kama ni kick ya kisiasa dhidi ya serikali.
Ebo, hulujua? Mwulize Zitto atakwambia hizi data zimepikwa na Benki Kuu kumfurahisha mpiga kura madiwani. Kenya ndiyo rahisi zaidi
 
.
Bei ya sukari Marekani (state ya hapa) ni $1.53 (Tsh 3672) na hii ni kwa uzito wa 4lb (1.81Kg). Kwahiyo bei ya Tz (Tsh 2,500) /Kg siyo mbaya, Mh. Rais anafanya kazi nzuri.

View attachment 636117
Asante Kiongozi kwa kuleta fact lakini kama kawaida huwezi kukosa wa kupinga Tanzania tuna tatizo la wapinzani kwao ilimradi wao wanaitwa wapinzani basi ni kupinga kila kitu na kufanya kionekane kibaya.
Sasa Mkuu hiyo sukari ya marekani kwanza package yake ipo poa ila sie sukari yetu ni ya kupimiwa pia hiyo ni zaidi ya kilo moja na nusu..... ambapo kwa bei yako uliyoweka ingekuwa TZS 3750+, pia quality ya sukari ipo juu kuzidi sukari yetu.
Acha ushamba unakula packages au unakula Sukari? Unashadadia package wakati ukiitoa tu dukani unaiweka kwenye container ya sukari hoja yako ni ya kitoto kama zilivyo nyingi kutoka kwenu.

Hiyo hiyo Sukari ya Tanzania inauzwa mpaka nchi za kiarabu tena hakuna sukari standard kama za Africa ukilinganisha na chemicals stimulated manufactured za most of the western countries.

Alafu hujalazimishwa kununua sukari ya Tanzania kanunue ya Marekani.
 
Nimesema ni USD $ 2.5 per kilo. Unaweza ku convert ni kiasi gani cha KES au TSH kupata bei ya kilo moja ya sukari kwa currency uitakayo.
Tumia akili convert USD kwa fedha ya Kenya ...use pia unasoma .......usiwe unakurupuka
 
Back
Top Bottom