Kumbe balimi ndogo ni nzuri hivi?

Mate yananidondoka maana nna kiu ya balimi balaa, ila vyuma vimekaza mno
 
sio vyuma baba barimi nibonge la bia nitam kinyama halafu huku sisi tuiita mwendo kasi unapiga tano unakuwa uko mafuta tayari
 
a7aa57a1d8cdbd91c3b130e7ebb18e5b.jpg
ndoo habari ya mjini
 
Back
Top Bottom