BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,044
Kuna watu ninawafahamu ni wakristo ambao majina yao ni:Neno udini ni dhana pana sana... Na huwezi kufikia conclusion kwa majina tuu bali kuna mengi ya kuangalia kama
Asili ya mmiliki
Body members
Top leaders
Important posts
Aina ya vipindi, taarifa na makala
Aina ya uendeshaji nknk
Lakini pia ni vema kutafakari sana hili neno UDINI... Ni nani alitulisha hii sumu ikatuingia na kutu brainwash kabisa?
Ndio mimi Mbwa nafugwa kwa wazazi wako! Mshenzi mmoja weee leta hoja wacha ubaguzi kenge weeWewe Tumekuzoea Mbwa Wewe Mada Zako Zimekaa Kidini Dini Tu
Na Tumeshakushtukia.
Kaa Uko Kwenu Zanziber Uliwe Kijambio Usituletee Uzushi Hapa.
Gaidi kauanza mama yako wengine wanaigiza tuuusoma kisomo kile cha nini mnaita sijui ili wale watumwa wa kiarabu MUAMSHO watoke kule segerea.... acha kulalamika kishamba kwa mambo yasiyo na msingi. AU HUJUI KUNA MAGAIDI WALIKAMATWA NA SASA WAPO SEGEREA MIAKA ZAIDI YA KADHAA WALIJIITA UAMSHO??
Nifanye kazi nalishwa kwenu??waambie azam wapaze sauti wale jamaa watoke kule segedansi...... la si hivyo wewe endelea kuandika upuuzi na kujibu kishamba na wakati hujui unachopigia kelele..... BORA WAARABU WANGEKUWA WAPAGANI MAANA HII DINI YAO INAHARIBU DUNIA. Ona mtumwa wa kiarabu unavyokuwa mshamba hata kwenye maandishi unalalamika tu. FANYA KAZI WEWE.
sawa mbwaNdio mimi Mbwa nafugwa kwa wazazi wako! Mshenzi mmoja weee leta hoja wacha ubaguzi kenge wee
Kwaiyo km huangalii unataka tukusaidie nn hapaHawa wenzetu wa msikitini ni wabaguzi sana hilo wala halina ubishi kabisa mbona kwenye jamii tunaona sana tu binafsi azam tv huwa siangalii
Mkuu ukichunguza vizuri sio kwamba Azamtv kuna udini bali wanafanya tofauti na tulivyozoea,kiukweli tumezoea kuona vipindi vyenye maudhui ya kikristo na tushaona ni jambo la kawaida,hebu chukua mfano wa tamthilia iliyokuwa ikilalamikiwa ya Sultan kwamba ina mambo ya kiislamu halafu kumbuka ni movie filamu ngapi za kinigeria zimeoneshwa itv zenye maudhui ya kikristo na hatukuona kwamba itv wana udini watu waliangalia na kuburudika bila kujari imani ila Azamtv kuweka tamthilia ya yenye mambo ya kiislamu imekuwa ni jambo tofauti na mazoea yetu ni kitu kipya.
Ile tamthilia ya siri za familia iliyokuwa ikirushwa na kituo cha eatv ilikuwa kutwa makanisani hasa mwishoni mwishoni mwa tamthilia ila kwa kuwa ni vitu ambavyo tumevizoea basi haikuwa shida hakukuwa na malalamiko yeyote kwa eatv. Hiyo chaneli ya taifa tu huwa wanapiga kwaya muda wowote wakiamua hata kama sio jumapili ila hakuna malalamiko ya udini italalamikiwa kwa mambo mengine.
Hiyo filamu ya Yesu watu wa imani zote walikuwa wanaangalia kila Xmass inawekwa ila sasa Azamtv kuweka ile filamu ya kiislamu imekuwa tabu ni kwa sababu hatujazoea,channel 10 imejaa vipindi vya makanisani ila mwenye kutaka kuangalia ataangalia asiyeweza atatoa hakuna lawama ila ajabu Azam anaonekana kaleta udini kumbe sivyo mkuu bali watu tulishazoea udini wa upande mmoja.
Kutesa kwa zamu,kumbe mnaumia eehkaanzisha ZBC2 yaan mwanzo mwisho ni uislamu na uarabu maana naona wanaongea kama wana uji mdomoni