Mmmh wee jamaa una balaa sana kila wakat ATM inakosea kwako tumara kibao tu;crdb mabibo hostel ilicount hela zikawa hazijatoka,ricipt ikawa inaosoma imetoa nikawafuata wakarudisha mtonyo
pia atm ya river side nimecomand hela flan ikatoka ile ile baadae naangalia salio limepungua xn,nikawapigia wakaniambia nimetoa kias flan wakat mm ckutoa hicho,imejidouble mara3 lakin hela haikutoka,imetoka ile tu niliyocomand,bt kule imesoma iliyojidouble mara3 kipind crbd hawalet msg ukitoa hela!
nikafuatilia tawin kwangu,baada ya cku moja/mbili wakarudisha mtonyo
[HASHTAG]#mara[/HASHTAG] nyingi tu atm zinazngua
nyie ndio vinambinambi msiopitwa na jambo.Kaulize bank
Kitu gani mkuukitu cha Arusha on fleek
Endelea na hiyo bank yakoUngeshazisogelea Ungejua maximum withdrawal per day ni Million moja na kwa mkupuo mmoja inatoa laki 4 tu,... Hii story yako hata kwa Shigongo haiuzii
Eti na picha kapiga
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji12]nitoe hata jero tu nisisambaze umbea huu..
maana noi kosa la jinai kuibia kampuni, tena kampuni kubwa, tena ni bank, tena imehifadhi hela za walalahoi, tena ni fedha za wizi...!!
mungu anakuona.
[emoji15] [emoji15]Kazi tunayo
[emoji125] [emoji125]1100,000tsh. aiseeee hii ndio kiasi cha pesa tena?!
Au huko Mikoani mnatumia tarakimu tofauti kwenye pesa?!
Acha uongo aisee, ATM gan inayotoa million moja per single draw, acha uongo mkuuNashukuru kwa siku ya Leo walau ilikua njema.
Nimeenda ATM moja hapa Arusha, nilikua nataka kuwithdraw kama 110,000TSh cha ajabu ilitoka 1100,000tsh. Nimevunja mpaka kadi sitaki kuendelea na ile bank tena.
Furaha iliyoje kwenye awamu kama hii ya baba JESCA? Naomba malaika aliyeniamsha Leo aje tena keshokutwa.
ndiyoJamani na mimi niulize ivi kuna haja ya kuhakiki fedha ktk ATM kabla ya kutia kwa mfuko.
Yapi[emoji15] [emoji15]
Eti na picha kapiga
Nashukuru kwa siku ya Leo walau ilikua njema.
Nimeenda ATM moja hapa Arusha, nilikua nataka kuwithdraw kama 110,000TSh cha ajabu ilitoka 1100,000tsh. Nimevunja mpaka kadi sitaki kuendelea na ile bank tena.
Furaha iliyoje kwenye awamu kama hii? Naomba malaika aliyeniamsha Leo aje tena keshokutwa.