Kumbe ATC ni usafiri wa wanasiasa............. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe ATC ni usafiri wa wanasiasa.............

Discussion in 'Jamii Photos' started by Rutashubanyuma, Nov 3, 2011.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 80,600
  Likes Received: 38,780
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Kapteni mstaafu Issa Machibya (anayeshuka kwenye ndege) akipokewa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATC), Paul Chizi baada ya kukagua ndege hiyo ilipowasili uwanja wa Kigoma. Shirika hilo limeanza kutoa huduma zake baada ya kusimama kwa muda mrefu. (Picha na Robert Okanda).
   
 2. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,838
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  na wanasafiri bure!
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,045
  Trophy Points: 280
  Wanataka kumnyang'anya Zitto jimbo?
  Kwanini wasingezipeleka sehemu nyingine za nchi (ikiwa ni pamoja na Tabora na Kigoma)?
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,276
  Likes Received: 14,515
  Trophy Points: 280
  kwa kodi zetu
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,276
  Likes Received: 14,515
  Trophy Points: 280
  hilo shirika wataliua asasa hivi tu
   
 6. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #6
  Nov 3, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,531
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  Kandege kenyewe ndio hako? Aibu kubwa!
   
 7. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  Usijali 2016 tutanunua hili......... The Airbus A380 costs between $317m and $337.5m depending on configuration.

  [​IMG]
   
 8. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,310
  Likes Received: 4,715
  Trophy Points: 280
  hawa jamaa siasa zinazidi, hakuna cha biashara wala jipya. Watabakia kubebana wenyewe kwa wenyewe tu (wanasiasa)
   
Loading...