Kumbe Amina na Kikwete wametoka mbali

Kumbe Amina na Kikwete wametoka mbali

Hapo anaonekana Amina ndiye alikuwa boss, mkulu alikuwa mpambe tu.
 
Hii picha nahisi ilikuwa ya mwaka 1994/95 wakati Kikwete akiwa Waziri wa fedha, TZ na Amina akiwa Waziri wa fedha ZNZ.
 
Amina alipiga teke nafasi ya kuteuliwa uwenza baada ya kusema anataka kushirikiana na hasimu
 
Back
Top Bottom