Kumbe alifukuzwa seminari

Sasa msela wangu vp hukumuuliza huyo mzee sababu ya dingi kutimuliwa kule seminari? Nilikuwa nafahamu aliwahi soma seminari, haahahaaaaaaa... kumbe hakumaliza. Isije ikawa alimtwanga makonde mwanafunzi mwenzie, maana ana tabia flan hivi hazisomseki
 
Mkuu safari ilifika mwisho halafu mimi ni mpigania uhuru nisingeweza kupoteza muda tena wakati jasho langu ndo mtaji wangu
 
Hii inaweza kuwa research question kwamba kwa nn mhusika mkuu kwenye tamthilia hii alifukuzwa seminari? Watu wajichimbie huko kama kule kolomije
 
Tatizo. waandishi wetu makanjanja mkuu

Hii inaweza kuwa research question kwamba kwa nn mhusika mkuu kwenye tamthilia hii alifukuzwa seminari? Watu wajichimbie huko kama kule kolomije
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…