PostGE2025 Kumbe alifeli form 4, Kiswahili tu ndio alipata D

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,127
Reaction score
24,429
Aiseee hii ni aibu sasa naelewa kwanini Kisiwani hapajawahi kuwa hata kwenye elfu 1 bora ya matokeo ya Necta ama Nacte

Baada ya kupost leo kwenye page zake anafungia comments na kublock watu, pia anafuta comments mbaya

Mtu aliyeshinda kwa asilimia 98 lakini akaenda kuapishiwa kambi ya jeshi

Mtu pekee anayeitwa Dr aliyepata D moja form 4 ya somo la kiswahili na masomo mengine akafeli kwa kupata F na viastashahada vya kuungaunga vya huko Pakistan na Dubei

Kweli tuna bahati mbaya sana, kwamba tunafanya vizuri kuliko chumi za Marekani na Ulaya

Nacheka ila tuna hasara kubwa sana.
 
Hiyo ni reflection ya jamii yake isivyo serious.unampaje nafasi ya unakamua mtu kama huyo?.
 
Aiseee hii ni aibu sasa naelewa kwanini Kisiwani hapajawahi kuwa hata kwenye elfu 1 bora ya matokeo ya Necta ama Nacte
emoji23.png
Ni kweli unajua kuwa visiwani hapajawaki kuwa hata kwenye elgi 1 ya matokeo ya NECTA ama NACTE kwasababu ni matokeo ya kupanga na ya upendeleo kwa watu kama wao na wanaofanana nao.

Sisi ambayo yametukuta hatushangai kauli kama hizi!
Mtu aliyeshinda kwa asilimia 98 lakini akaenda kuapishiwa kambi ya jeshi
Sikuwa na habari kwamba aliapishwa kwenye kambi ya jeshi. Asante kwa kunijuza.
 
Nyinyi ndo vijana raia wa nje. 🤣
 
Aiseee hii ni aibu sasa naelewa kwanini Kisiwani hapajawahi kuwa hata kwenye elfu 1 bora ya matokeo ya Necta ama Nacte

Baada ya kupost leo kwenye page zake anafungia comments na kublock watu, pia anafuta comments mbaya

Mtu aliyeshinda kwa asilimia 98 lakini akaenda kuapishiwa kambi ya jeshi

Mtu pekee anayeitwa Dr aliyepata D moja form 4 ya somo la kiswahili na masomo mengine akafeli kwa kupata F na viastashahada vya kuungaunga vya huko Pakistan na Dubei

Kweli tuna bahati mbaya sana, kwamba tunafanya vizuri kuliko chumi za Marekani na Ulaya

Nacheka ila tuna hasara kubwa sana.
Huyo apaswa kuitwa kihiyo au kilaza. Period.
 
Mwenzako Rais wewe ukiwa huna uhakika wa mlo wa siku 10 mfululizo, unaishia Kwenye Chumba kimoja jiko, sebulo, na kitanda kipo hapo hapo na Chumba kimejaa madumu ya maji na hukunikifika asubuhi umeshawema ndoo ya maji Chini ya mlango wa Choo ukipanga foleni
Sasa niambie Division 1 yako. Ya A Saba. Imekusaidia nini? Wakayi mwenzako hata akimaliza muda wake basi Hana shida. .Au ndiyo unasubiri kuja kumpindua Dec 9 Amiri jeshi mkuu akuwa Malaya wenu wa USA na akisaidiwa na Yule wa Nairobi?
Pathetic life!
 
Kazi ya Raisi ni kutatua changamoto za nchi na wananchi kwa ujumla. Elimu inasaidia na kutoa uwezo wa kupambanua mambo.
 
Aiseee hii ni aibu sasa naelewa kwanini Kisiwani hapajawahi kuwa hata kwenye elfu 1 bora ya matokeo ya Necta ama Nacte

Baada ya kupost leo kwenye page zake anafungia comments na kublock watu, pia anafuta comments mbaya

Mtu aliyeshinda kwa asilimia 98 lakini akaenda kuapishiwa kambi ya jeshi

Mtu pekee anayeitwa Dr aliyepata D moja form 4 ya somo la kiswahili na masomo mengine akafeli kwa kupata F na viastashahada vya kuungaunga vya huko Pakistan na Dubei

Kweli tuna bahati mbaya sana, kwamba tunafanya vizuri kuliko chumi za Marekani na Ulaya

Nacheka ila tuna hasara kubwa sana.
Kama hii haishangazi, pitia CV ya mtoto wake NAIBU WAZIRI...Utachoka kabisa...
 
Sisi ambayo yametukuta hatushangai kauli kama hizi!
Na unaamini kabisa kwa dhati ya moyo wako, kwamba matokeo hayo ni ya "kupangwa", na unataka nasi tujue na tuelewe kuwa ni "matokeo ya kupangwa" kwa vile ni wewe umesema hivyo!
 
Mwenzako Rais wewe ukiwa huna uhakika wa mlo wa siku 10 mfululizo, unaishia Kwenye Chumba kimoja jiko, sebulo, na kitanda kipo hapo hapo na Chumba kimejaa madumu ya maji na hukunikifika asubuhi umeshawema ndoo ya maji Chini ya mlango wa Choo ukipanga foleni
Sasa niambie Division 1 yako. Ya A Saba. Imekusaidia nini? Wakayi mwenzako hata akimaliza muda wake basi Hana shida. .Au ndiyo unasubiri kuja kumpindua Dec 9 Amiri jeshi mkuu akuwa Malaya wenu wa USA na akisaidiwa na Yule wa Nairobi?
Pathetic life!
Huo urais upo wapi. Huoni tayari ni 'candidate' wa kunyea debe miaka yake yote ya maisha iliyobakia?

Sasa kama ni hiyo sifa yake ya kuwa na elimu mbovu imechangia kumfikisha hapa alipofikia, kuna kipi tena cha kujivunia maishani mwake kote?
 
Mwenzako Rais wewe ukiwa huna uhakika wa mlo wa siku 10 mfululizo, unaishia Kwenye Chumba kimoja jiko, sebulo, na kitanda kipo hapo hapo na Chumba kimejaa madumu ya maji na hukunikifika asubuhi umeshawema ndoo ya maji Chini ya mlango wa Choo ukipanga foleni
Sasa niambie Division 1 yako. Ya A Saba. Imekusaidia nini? Wakayi mwenzako hata akimaliza muda wake basi Hana shida. .Au ndiyo unasubiri kuja kumpindua Dec 9 Amiri jeshi mkuu akuwa Malaya wenu wa USA na akisaidiwa na Yule wa Nairobi?
Pathetic life!
Maandishi mengi ila umeandika pumba tupu..kua na pesa au kua raisi akufuti umbumbumbu wa mtu , huyo mama ni tahira kama ulivyo wewe masikini wa akili..nguruwe hata umvalishe kanzu na umpakize kwenye v8 bado atabaki kuwa nguruwe tu...Vivyo hivyo mtu mbumbumbu na mjinga hata amiliki Dunia na vyote vilivyomo umbumbumbu wake utadhihirika tu , kama ilivyo kwako na huyo mama yako tahira
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom