Kumbe Albert Einstein aliwahi "kuliwa kichwa"

Eti "We find your assumptions more artistic than actual physics"! Yaani kwa lugha ya Kiswahili cha leo - "Huu wako ni usanii tu siyo fizikia". Hahahaaaaaaaaaa....

Kumbe! Alizaliwa juzijuzi tu! Sikujua...
Yani sawa na Kuambiwa

Mzee baba unaongea utopoloo na kuleta hadithi za Abunuasi...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Eti "We find your assumptions more artistic than actual physics"! Yaani kwa lugha ya Kiswahili cha leo - "Huu wako ni usanii tu siyo fizikia". Hahahaaaaaaaaaa....
Hawakumaanisha usanii kama "ubabaishaji".

Usanii unaozungumzwa hapa ni kazi ya sanaa.

Tuwe precise kidogo!
 
Artistic = ya kisanaa, ya kisanii. Aliambiwa ni kazi ya kibabaishaji, siyo fizikia. Nenda uendako.
Hawakumaanisha usanii kama "ubabaishaji".

Usanii unaozungumzwa hapa ni kazi ya sanaa.

Tuwe precise kidogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…