Kumbe Abuu Shekau anayo mambo mazuri

Kumbe Abuu Shekau anayo mambo mazuri

Huu ni uongo wamwisho kabisa, haiwezekani shetani kukosoa kazi za shetani mwenzake wakati wote lengolao ni moja tu, kudhuru maisha ya watu.
 
Kama ni kweli basi hao Boko Haram ni wendawazimu...

Mbona wao wanawaua Waafrika huko Nigeria, Chad...!!!

Wale mabinti waliotekwa na Boko Haram si wote ni weusi wale!!!
 
Kiongozi mkuu wa boko haram abuu shekau ametoa mkanda wa video wenye matamshi makali ya kumuonya jacob zuma kuwataka wananchi wake kusimamisha au kuacha kuwashambulia raia wa kigeni waliopo katika nchi hiyo , vinginevyo atazishambulia balozi za south africa katika nchi za nigeria, chad, niger, cameroon, , sambamba na kuwauwa raia wa nchi iyo popote walipo sambamba na kuwateka nyara
hee kumbe na boko haram huwa wanatafutaga kiki hapa town...
 
Abuu Shekau akiona hii thread atacheka kimoyomoyo/kmyakmya.

maana hawez kuingilia jambo ambalo halitampa maslahi.
 
mnaeza kumsifia shetani kwamba anamlaumu Mungu kwa kuruhusu binadamu kufa? dah! ajabu sana. yeye anatishia kuua na mnamsifia. fikra zenu ziko wapi? mnamsifia yule juha wa boko haram?
 
yeye ni kama nani anatoa hilo tamko?? kweli magaidi hawakosi sababu, mwanzo alikuwa naipigania dini, sasa ivi anapigania watu
 
Haya mambo serikali huwa wanayafuga unakuta kaburu anafanyakazi kwa kibali Cha utalii shule Hana ukaajiriwe na degree yako utatamani ufe. Acha tu tupigane viberiti tupondane mawe
 
Kiongozi mkuu wa Boko Haram, Abuu Shekau ametoa mkanda wa video wenye matamshi makali ya kumuonya Jacob Zuma kuwataka wananchi wake kusimamisha au kuacha kuwashambulia raia wa kigeni waliopo katika nchi hiyo , vinginevyo atazishambulia Balozi za South Africa katika nchi za Nigeria, Chad, Niger, Cameroon sambamba na kuwauwa raia wa nchi hiyo popote walipo sambamba na kuwateka nyara.
Naomba link
 
Back
Top Bottom