tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 499
Kiongozi mkuu wa Boko Haram, Abuu Shekau ametoa mkanda wa video wenye matamshi makali ya kumuonya Jacob Zuma kuwataka wananchi wake kusimamisha au kuacha kuwashambulia raia wa kigeni waliopo katika nchi hiyo , vinginevyo atazishambulia Balozi za South Africa katika nchi za Nigeria, Chad, Niger, Cameroon sambamba na kuwauwa raia wa nchi hiyo popote walipo sambamba na kuwateka nyara.