Mtoto Wabibi
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 451
- 294
Kwasasa naona ni kinyume.....! Yani unapiga kazi hadi jasho lifike kiunoni ndio upate pesa tena madafu....!! vijana tumechakaaa mitaani...! kila kukicha afadhali ya jana....ajira ni kitendawili kisicho na majibu....! mwenye degree sasa ni mpiga debe ..! Is this how fiscal policy is? ooooh noooo....! Is mkwere printed more money?...oooh nooo...Is production exceed quantity of money in circulation?
In economy: uzalisha unatakiwa uwe sawa na kiasi cha fedha katika mzunguko...! vinginevyo tunaumizana.
Je hizi sera za uchumi za sasa zina lengo gani? bado hatujawekewa vikwazo ipo hivi je ikitokea itakuwaje?
"Turudishe kwenye maisha bora kwa kila mtanzania ili nifungue tena kibanda changu"