Kumbe 2010-2015 Yalikuwa maisha bora kwa kila mtanzania..!!

Mtoto Wabibi

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
451
294
Kwasasa naona ni kinyume.....! Yani unapiga kazi hadi jasho lifike kiunoni ndio upate pesa tena madafu....!! vijana tumechakaaa mitaani...! kila kukicha afadhali ya jana....ajira ni kitendawili kisicho na majibu....! mwenye degree sasa ni mpiga debe ..! Is this how fiscal policy is? ooooh noooo....! Is mkwere printed more money?...oooh nooo...Is production exceed quantity of money in circulation?
In economy: uzalisha unatakiwa uwe sawa na kiasi cha fedha katika mzunguko...! vinginevyo tunaumizana.
Je hizi sera za uchumi za sasa zina lengo gani? bado hatujawekewa vikwazo ipo hivi je ikitokea itakuwaje?
"Turudishe kwenye maisha bora kwa kila mtanzania ili nifungue tena kibanda changu"
 
Si mlimtukana or mara dhaifu ,mpaka poda ,kila aina ya tusi
 
Prof. Dr.Jakaya M. Kikwete Rais mstaafu wa JMT,popote ulipo wananchi wanaanza kukukumbuka taratibu.
Lakini ni ukweli ya kuwa uliwaambia kwamba "anayekuja ni mkali kuliko wewe" ,wengi walikubeza lakini wachache walielewa.
Awamu hii ya tano itakuwa zaidi ya awamu ya tatu ambayo wachache walielewa nidhamu ya matumizi ya pesa.
Ugumu wa maisha ni kipimo cha Akili, awamu hii Akili nyingi,(ubunifu, uvumilivu, uadilifu, nidhamu, hofu ya Mungu na Uchapakazi) ndio silaha pekee ya kuweza kukabiliana na changamoto zilizopo.
Sote tujitahidi kufanya Kazi kwani Kazi ndio kipimo cha Utu.
Hakuna uhuru bila Kazi na ili uhuru uwepo lazima hekima iwepo, hekima bila kazi ni sawa na kuwa na uhuru bandia.
 
Prof. Dr.Jakaya M. Kikwete Rais mstaafu wa JMT,popote ulipo wananchi wanaanza kukukumbuka taratibu.
Lakini ni ukweli ya kuwa uliwaambia kwamba "anayekuja ni mkali kuliko wewe" ,wengi walikubeza lakini wachache walielewa.
Awamu hii ya tano itakuwa zaidi ya awamu ya tatu ambayo wachache walielewa nidhamu ya matumizi ya pesa.
Ugumu wa maisha ni kipimo cha Akili, awamu hii Akili nyingi,(ubunifu, uvumilivu, uadilifu, nidhamu, hofu ya Mungu na Uchapakazi) ndio silaha pekee ya kuweza kukabiliana na changamoto zilizopo.
Sote tujitahidi kufanya Kazi kwani Kazi ndio kipimo cha Utu.
kazi tunapiga lakini pesa haipo
 
Back
Top Bottom