Maisha bora kwa kila Mtanzania!

gkutta

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
273
168
Pascal Kashiga>>>> Kwa binadamu wa kawaida kama Mimi na wewe yatupasa kuwa na subra maana tumeyaona mengi ktk tawala zilizopita lakini kwa huyu wa sasa angalau kamwanga kameanza kuonekana pia huyu sio malaika kwamba atampendeza kila mtu mbona wapo wanaomlaumu hata Mungu, tumpeni muda tuone tusimkatishe tamaa, tusimbeze, tusimtukane, kwa muda mfupi amefanya mengi kama hamyaoni Hamna shukurani

Gilbert Phillip Kutta >>>>Pascal Kashiga usitutie ujinga na huu sio wakati wake!!...hakuna kipya kwa ccm hata kije na sura ya malaika toka kuzimu!!...ccm ni ileile na lolote kwa sasa toka ndani ya ccm hata iwe la unafiki wa kujipendekeza kwa watanzania limepitwa na wakati na huwezi anza sifia mziwa mazuri toka kiroba kichafu,,,,huwezi kuta mtu amevaa nguo nyeupe safi ndani ya sewage rafiki!!!..ukiona hivyo jua wamekuvisha miwani ya mbao!!....subira bado unayo maana unangojea maisha bora kwa kila mtanzania toka enzi za kikwete hadi eo wakati mwenzako yupo msoga na mkewe ni mbunge wa kuteuliwa na mwanae ni mbunge!!>>>>
 
Back
Top Bottom