Kumbatio la Joe Biden kwa Hillary

Akili tofaut ladha tofaut ya utawala sio Kutojielewa kama bi Katiba
 
....mi nataka one day Mbowe amkumbatie Tulia km hivyo
 
Pana joto mwanana sana hapo
 
Pana joto mwanana sana hapo

Mazingira yake yanafanya page na joto asilia maana pamefichwa na mikono, ndomaana hata daktari au nesi akitaka kupima joto la mwili anaweka kipimajoto maeneo hayo (kwapani).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…