Yoav Gallant
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 2,975
- 6,395
Hongera sana Kumamoto ni pazuri
Ukorofi huuMiji ya wenzetu imepangwa ikapangika, imejengwa ikajengeka. Nataka ku relocate nikaishi zangu Kumamoto nchini Japan.
View attachment 2870489View attachment 2870490View attachment 2870491
"drinkwater", yaani mnywa maji! Ungeomba msaada utafsiriwe.Tukiachana na majina yenye ukakasi wa matusi tuje kwenye majina ya wazungu yenye maana fulani kwa kiswahili, kuna mkoloni mmoja huko kusini mwa afrika aliitwa whitehead, yaani kichwa cheupe, kuna mchezaji huko uingereza anaitwa drinkwater, yaani mnywa maji
Naamini Iko siku Matombo itaendelea kushinda kumamotoUlipenda jina tu, acha uongo...