Kulipia software online

GAMBLER

JF-Expert Member
Nov 22, 2009
303
11
Habari wakuu, natumia blackberry curve 8520, sasa kuna software nazihitaji ni za kulipia kwa pay pal, nilikuwa nauliza inawezekana kulipia? Na ninaomba maelekezo ya namna ya kulipa......thanx in advance
 
Mkuu humu kuna post nyingi za pay pal na zinamaelezo mazuri, try to search, vinginevyo subiri wataalamu waje kukusaidia
 
Usipate shida hii nisawa namalipo mengine yoyote kupitia njia ya bank,inakulazimu kuwa na moja kati ya zifuatazo kwa card za bank pay online. Viza,Master,Elecronic cards,zipo nyingi sana,lakini tunazo tumia tanzania ni chache,lakini inawezekana.nimetumia visa card kwa kununulia tiketi ya ndege sio mara 1.
 
Back
Top Bottom