Kulipa fadhila kunamkondesha

Hivi kwanini mkisomesha ndio roho zinataka kuwatoka. Starehe zingine hata kama zilikuwa za gharama zaidi huwa hamlalamiki.

viherehere vya wanaume sometimes vinacost. Hivi unasomesha mwanamke ni mwanao? Kama umeamua kumpeleka shule kaa kimya. wazazi kuwasomeshha watoto wao wanalalamika?

Pole sana kijana, umengiea choo cha kike .
 
sio vihere here. Ni sehemu ya huduma. Huduma ngapi za gharama unaweza mpatia kuzidi hata hiyo hela ya ada? Wanaume mchukulie kumsomesha binti ni sehemu ya huduma kama ambavyo unaweza mpa hela ya shopping.
 
Hili jambo lipo sana...japo katika sura tofauti.
Kwamba mwanaume anaamua kumuendeleze mwenzi wake...ila mwanamke akishaendelea anaona kwamba yeye sio wa 'class' ya yule mwanamme....na hili linasababisha wanaume wengi kuwa na hofu ya kuwekeza katika maendeleo ya wanawake....

Umenena mkuu mimi niliwahi shuhudia jamaa yangu kamsomesha demu mpaka digrii alafu binti akaanza kuzingua kweli kweli, jamaa aliumia sana mpaka almanusura atemeshwe mzigo basi akapata ushauri akatulia na kusonga mbele... Wanawake hawaaminiki sana kumwendeleza kwa hitaji moyo..
 
Huyo dada atayajutia maisha yake huyu kaka alimpenda bila kujali hali yake na akamsaidia toka yuko mavumbini leo hii anasema hana hisia za kimapaenzi juu yake Mungu amsaidie but atavuna anachokipanda sasa! huyu kaka wa pili kampenda baada ya kuona ana muelekeao wa maisha hakuna lolote hapo awe makini sana machozi ya huyo kaka wa kwanza hayataenda bure Mungu atayafanyia kazi na ita mcost huyo dada in one way or another kama si yeye basi kizazi chake! My advice aendelee na huyo kaka aliye msaidia aache usanii wa kusema hana hisia juu yake muda wote huo kwa nini hakumwambia??? tuache kuwatoa watu machozi walioingia gharama kwa ajili yetu jamani its so painful!
 
Ni mara ya kwanza kuchangia humu..na kilichonivutia ni kiswahili cha mwandishi wa mada hii.kama anaweza kunieleza maana ya uyo au uyu
 
Huyo jamaa mpya naye anampenda huyo binti kama yule wa zamani?? Mwambie huyo kama naye anapendwa si vibaya kumwambia mapema mfadhili wake namna anavyofeel. Lakini awe makini baadae asije kulia maana huenda huyo jamaa mpya anataka kumvua tu nguo...
si amekutana na njemba huko chuo wamedanganyana 'i love you,i love you too' baada ya mechi kadhaa anapigwa chini hapo ndio atalijua jiji na huku kwa mwanzo kaishanyea.
 
Eeh, siku zote hizo alikuwa anamuona wa maana, leo ndio anaona hamfai, amuambie ukweli, lakini alichokifanya si kizuri, huwezi jua yanaweza yakawa majaribu tu, Mungu anamjaribu aone msimamo wake, akumbuke akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki wa kweli, lakini kama alikuwa hana feelings naye toka mwanzo bora tu amueleze ukweli, ili aweze kuwa na huyo analiyempenda zaidi.
 
What goes around comes around!! Mitoto ya kike ndivyo ilivyo,sio wote msije kunimeza hapa,lakini hili huwa ni kosa sana kwa kina kaka kujifanya mnahuruma sana kwa kina dada wakiwa na matatizo,hapo utakuta mshkaji dada zake hajawasaidia hata robo,utakuta mama yake anashida sana lkn kamsaidia dem mpaka basi,usimpende mwanamke akiwa kwenye matatizo mapenzi ya kweli yaje tu sio kwenye matatizo ndio mapenzi,hizi kesi ni nyingi sana mitaani,
 
Kila jinsia ina matatizo, awe mwanamke au mwanaume, ukiwa na uwezo wa kumsaidia mtu au mpenzi wako msaidie, mtu aliyestaarabika na mwenye ubinaadamu hatokugeuka, na pia kama mtu anakusaidia, usimzuie kuwasaidia ndugu zake pia, ndugu zake wamempa support mpaka akafanikiwa kuwa na uwezo wa kukusaidia wewe, mkumbushe awasaidie ndugu zake pia, vilevile msaidie kumshauri afungue miradi mbalimbali ili ajiongezee kipato zaidi, kukusaidia wewe kusirudishe nyuma maendeleo yake katika maisha.
 
Ukimthamini anayekujali, utapata baraka.
 
Huyo best wako hajaangali ule msemo wenu wa hana "MSIMAMO WA MAISHA"?
Mana utakuta kwa huyo boifrend mpya kuna kitu cha ziada tu hapo, ila anakifanya kuwa kamfia!
Jamaa amsomeshe mpaka hapo, halafu leo kafika chuo alikoletwa na huyo kaka (aliomsomesha) halafu aseme hana hisia nae? Kisa kapata mpya?
Mmmh mmmh sijakubali hapo, kuna interest kafata hapo.
 
Kapelekwa chuo, kaonana na huyo boifrend mpya, kaona wazamani hamfai, je huyo boifrend mpya akimpeleka masters? Si na huko atapata boifrend mpya na aseme kamfia, hasikii wala haambiwi?
Na ataendelea ivo mpaka lini?
Wakati mwengine kwenye kupenda tushirikishe akili na hisia. Sio kutumia hisia zaidi.
 
Huyo dada akae chini na afikirie upya jinsi alivyopendwa kwa dhati na kusaidiwa na kaka wa kwanza. Ajiulize ni nini amepungukiwa yule kwa kwanza? Ni mapenzi? Au ni muonekano tu wa nje? Je, ni tamaa tu ndio inataka kumuondoa kwa mpenzi wake wa dhati? Mambo madogo madogo ya kishamba aliyoyaona yeye kama ya muonekano wa kimavazi, au utanashati yanaweza kurekebishika, ushauri wangu kwa dada, asimuumize mpenzie maana anaweza kuja kujuta maisha yake yote. Watanashati ni wengi, na watapita abaki kwa mpenzi wake. Awali ni awali, hakuna awali mbili.
 
mi ninavyoona ni mapenzi maana mapenz yakiisha tu hakuna jipya hapo
 
Back
Top Bottom