Kulikuwa na haja ya kumtimua Kafulila NCCR? Mh. Moses Machali Live on Star TV

Jamani pamoja na makosa ambayo Kafulila atakuwa kafanya,haitaji research kubwa kugundua kuwa Nccr-Mageuzi chini ya Mbatia imeporoka sana na sababu kubwa ni kuonekana kama ni moja ya matawi ya Ccm kwenye vyama upinzani.Kuhusu kufukuzana ssa Tz kuna mtindo wa kukwepa kutatua tatizo linalalamikiwa bali tunawafukuza wanaolalamikia tatizo hilo.Mifano michache ni Wanafunzi vyuoni,Madaktari na hao wabunge.Wakati kuna mijitu inakwiba mihela kila idara ya srkl lkn ipo tu mtaani inabadilisha modeli ya magari!Siku yao itafika tu siku wanaojenga nchi kwa moyo watakapo kataa nchi yao kuliwa na wenye meno!
 
Hata mimi nimeshangaa uelewa wa hawa jamaa wa NCCR Mageuzi kuhusu hii order ya mahakama. Sheria imewatupa mkono hawa.

kitu cha muhimu kujiuliza hapa ni je, mahakama inataka NCCR kumaintain status-quo iliyokuwepo kabla au baada ya kikao kilichowafukuza akina kafulila?
 
NCCR wana best lawyers kama akina Mvungi..nafikiri wana uelewa zaidi wa sheria kuliko unavyowashutumu

Rejao - nakubaliana na wewe, namwelewa Dk. Mvungi aliposema mahakama haijatengua maamuzi ya NCCR ila imevua further actions ili suala la maamuzi ya nccr yapitiwe kama ni halali kisheria. Kama wangekuwa hawajaandika barua kwa spika then kafulila ataendelea kudunda ila kama waliandika kabla ya hio order then Mama Makinda atapindisha tu. sema NEC haiwezi kudeclare kama jimbo liko wazi.

Kosa kubwa kwa mujibu wa Mvungi ni kuwa alikwenda kuomba barua ya kusimamishwa na baada ya Kafulila kupiga magoti na kulia wajumbe (baadhi) walishawishika kurejea hukumu yao. Na baada ya kuomba na kukubaliwa ikabidi wapelekea kwa spika, that means barua ya kufukuzwa ilikuwa mbele na ndo aloitumia mahakamani.

Hivi majaji hawaruhusiwi kutoa ufafanuzi?

Hii ni tasfiri yangu, nipo tayari kuelimishwa.
 

just curious to know how mkono would benefit from this whole saga
 
Hamad na kafulila ni laana ya kupinga oversight committee kuwa chini ya chadema
 
order ya mahakama ilitolewa lini na ili-take effect kuanzia lini? kama ili-take effect kuanzia tarehe iliyotolewa, ambayo labda ni baada ya NCCR kumwandikia spika juu ya kuvuliwa uanachama wa kafulila, je zuio la mahakama kwa NCCR kuchukua 'further steps' linalihusu bunge? na kuzuia 'further steps' maana yake sio kwamba ile hatua ya awali (i.e, kufukuzwa) inabaki kuwa ndio status quo inayotakiwa kuwa maintained pending court decision on the matter?
 
Wekeni hiyo order ya mahakama ili tupate interpritation yake
 
Unajua kipindi cha Star TV mda wake unakuwa mfupi na hatuwezi kupata majibu ya maswali yote juu ya huyu Mh. Kafulila. Kwani yeye sio Member wa hii Forum? kama vipi namuomba Mh. Zitto amlete humu jamvini ili atujibu haya maswali yote. Nawasilisha
 
Unajua kipindi cha Star TV mda wake unakuwa mfupi na hatuwezi kupata majibu ya maswali yote juu ya huyu Mh. Kafulila. Kwani yeye sio Member wa hii Forum? kama vipi namuomba Mh. Zitto amlete humu jamvini ili atujibu haya maswali yote. Nawasilisha

wazo murua sana hili - nadhani itasaidia sana kujibu hoja nyingi ambazo hazijapata majibu
 
Mh. Machali, baada ya kumfukuza Kafulila, mmejiandaaje kichama kulikomboa jimbo la kasulu kusini? Je mtaji aliokuwa nao Kafulila unadhani ni wa NCCR au wa kwake David mwenyewe?

The alpha animals are given preference to be the first to eat and the first to mate; among some species they are the only animals in the pack allowed to mate. Other animals in the community are usually killed or ousted if they violate this rule.

The status of the alpha is often achieved by means of superior physical prowess, though it can also be determined by social efforts and building alliances.
[SUP]http://en.wikipedia.org/wiki/Alpha_(ethology)#cite_note-0[/SUP]The individual in the alpha position usually changes when another challenges it to a fight, in some species to the death, and wins. Consequently, alphas may have to fight individuals in their own group several times to maintain their position throughout their lifetimes.
 
Baadaye iligundulika kwamba Kafulila yuko financed na watu mbalimbali, inasemekana hadi Nimrod Mkono anahusika katika kutoa mijihela ya kuimaliza NCCR

Uongo mwingine bwana, wasiangaike kumaliza wapinzani wa kweli waangaike na CCM-C?
 

Hope you are a good fun of Time travel movies
 
Hamad rashid anaingia kwenye kundi la wazee au vijana??
 

...Polepole dada, maswali mengine mnaweza kumfanya Kafulila apate udhuru siku ikifika.
 
kafulila yuko vibrant hadi kesho na ana uwezo mkubwa wa kujenga na kutetea hoja.chama chochote atakachohamia atashinda ubunge bila wasiwasi...angalia aibu wanayopata viongozi wa Nccr huko mikoani hasa kigoma,wanazomewa kama mbwa mwizi.kafulila tuliza kichwa usiwe na haraka ya kufanya maamuzi kwa sasa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…