Kulikoni ziara za Freeman Mbowe?

Falsafa za dhalim? Never.
 
Ndiyo kwanza wanakimbia uchaguzi
 
Acha watu wawe huru ,let them speak their minds

Dikteta kwa miaka 6 alizuia watu kufanya mikusanyiko kama aliyokua akifanya anapoamua anasimama na kuongea na watu popote hata kugawa pesa hovyo !

Ni haki ya kikatiba watu kufanya mikusanyiko na kutoa maoni yao alimradi hawavunji sheria na taratibu za nchi ! Ila dikteta hakua msomaji wa katiba hata preamble ! Alikua na wasiwasi kumuona na kuruhusu mtu mwenye wazo tofauti na yeye kuzungumza
 
Pamoja na Pasco mayala, hawezi ongelea siasa bila kuinanga cdm
Wewe mtu wa ajabu, wao wapo CCM jee ulitegemea wainange CCM?

Kwa vyovyote vile watavinanga vyama vya upinzani kama ambavyo wewe huwezi kuinanga Chadema.
 
Kwani Lumumba wameanza tena kutoa zile Buku saba kama alizokuwa anatoa Chakubanga
 
Hawana hata hela za kuchapisha kasi.
Kinachowabeba kwa sasa ni YouTube chanels
 
Subilia wale 2500 wakifika milion 5 ,uone chopa zikiaza pasua anga
 
Kwani Lumumba wameanza tena kutoa zile Buku saba kama alizokuwa anatoa Chakubanga
Mbowe hatasamehewa na watanzania kwa kitendo chake cha kuangushwa na konyagi alafu akaitangazia dunia amepigwa na wasiojulikana ili kumchafua mwendazake.
 
Mbowe hatasamehewa na watanzania kwa kitendo chake cha kuangushwa na konyagi alafu akaitangazia dunia amepigwa na wasiojulikana ili kumchafua mwendazake.
Hivi mumeo hakufikishi kileleni hadi muda wote unamuwaza Mbowe tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…