Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,578
- 46,731
Umeelewa nilipokwambia linakuzwa kimkakati?? Ni kwamba sio kubwa ila ninyi mnaliona kama kubwa ndio mnatumika kulikuza ila ukilipuuza wala watu hawajua huyo shoga anafafanaje.Linakuzwa kimkakati kumbe unajua,sasa unakataa nini na ndoa za mashoga zinafungwa wazi kabisa,uoni wanaongezeka kwa kasi kilakukicha mpaka kwenye mikoa ambayo huwezi kutegemea kama Mwanza,Arusha,Mbeya n,k.
kuitoa madarakani serikali kama ya Tanzania kwa maandamano na hawa wananchi wa aina hii kama yako sahau.
kesho kuna maandamono yameitishwa jisogeze pale ukiwashe mzee baba!
Umeelewa nilipokwambia linakuzwa kimkakati?? Ni kwamba sio kubwa ila ninyi mnaliona kama kubwa ndio mnatumika kulikuza ila ukilipuuza wala watu hawajua huyo shoga anafafanaje.Linakuzwa kimkakati kumbe unajua,sasa unakataa nini na ndoa za mashoga zinafungwa wazi kabisa,uoni wanaongezeka kwa kasi kilakukicha mpaka kwenye mikoa ambayo huwezi kutegemea kama Mwanza,Arusha,Mbeya n,k.
kuitoa madarakani serikali kama ya Tanzania kwa maandamano na hawa wananchi wa aina hii kama yako sahau.
kesho kuna maandamono yameitishwa jisogeze pale ukiwashe mzee baba!
Itatokea tu siku moja.Sio kwa Tz hii.
Anaupiga mwingi kwa kuingia mikataba ya ovyo? watanzania kama wewe mnatakiwa kutokomezwaUkiona mti unapopolewa ujuwe una matunda.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
wabongo wanavyomwaga matusi huko kwenye acount ya DP world ni keyboard worriorsKaa ufikiri hivyo hivyo, mradi ukumbuke tu, ndiyo wapo kwako sasa, wewe ambae si mtupu unafanya nini?
Nakushauri msikilize binti kwenye hiyo video clip, bi Amna Ghanem, katowa ushauri mwema sana kwa vijana. Usikilize
Mama anaupiga mwingi Kimataifa. .
zamani mji kama wa Dar kulikua na mashoga wachache sana mmoja akiitwa Ant Mudi na bado jamii ilimtenga,tofauti na sasa hali ilivyo mashoga wanapewa mpaka mialiko kwenye vigodoro,harusi,kitchen party n,k.Umeelewa nilipokwambia linakuzwa kimkakati?? Ni kwamba sio kubwa ila ninyi mnaliona kama kubwa ndio mnatumika kulikuza ila ukilipuuza wala watu hawajua huyo shoga anafafanaje.
Mkuu mashoga wapo tangu enzi na enzi, hata hapa Tz kitambo tu kwenye hiyo miji uliyotaja wapo ila ndo vile media hazikuwapa airtime kama sasa hivi.
Anhaaa kumbe wewe tupo mitumbwi tofauti, wewe unaongelea kuitoa serikali madarakani?? Mimi naongelea kupata haki kwa njia ya maandamano, ama lah kufikisha ujumbe kwa njia hiyo ya maandamano.
Kuitoa madarakani ni kwa njia ya sanduku la kura mkuu au huujui utaratibu?? Labda kama unataka tuwe kama Somalia ndo uitoe serikali kwa hayo maandamano.
Labda utaratibu haukufuatwa ndio maana wamekatiliwa, ila inawezekana vizuri tu.
Kisasi Ni HakiAkili za kibongo ndizo hizi, zimejaa hasira dhidi ya yale waliyotendewa mababu zetu zaidi ya miaka mia moja iliyopita. Zimejikita kwenye visasi vya kabla hata hawajazaliwa, poor african minds.
Isiwe sheeda, we are anti-all trimmings- of-pseudo_arabiszation of the PUNT CoastSahivi kwenye page ya DP world ya Instagram hapatoshi, Watanzania wanaporomosha matusi hatari kwenye page za Waarabu.
DP world kazi wanayo.
View attachment 2661244
View attachment 2661245
AiseeHao waarabu tunapata taarfa zao uku nje ni watu wa fujo kuharibu nchi za watu
Yaani huo mti uache kuzalia Zanzibar hapo uje uzalie huku bara ambapo kuna ndege walao matunda..?.Ukiona mti unapopolewa ujuwe una matunda.
...
Yaani huo mti uache kuzalia Zanzibar hapo uje uzalie huku bara ambapo kuna ndege walao matunda..?.
This is 🚫!
Tatizo Sio mwarabu au mngereza!
Tatizo ni mkataba!
Huoni au Mapenzi??
DP WORLD ni mkombizi wetu. Tunawatakaaaaa.Sahivi kwenye page ya DP world ya Instagram hapatoshi, Watanzania wanaporomosha matusi hatari kwenye page za Waarabu.
DP world kazi wanayo.
View attachment 2661244
View attachment 2661245
Upo na Mbowe au upo na Lissu ?Twenden front basi nipo posta hapa nawasubiri!
Pamoja na mabaya yake mengi lakini kwenye kulinda rasilimali za nchi alikuwa vizuri snMagufuli aliiamsha sana hii nchi