William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Mkuu umefurahisha na kunichekesha ile mbaya asubuhi ya leo lakini najua kwa nini umefanya hivyo kuwataja hao watatu kuwa vichwa vya uvccm yaani Mtera Mwampamba, Juliana Shonza, na Musa Tesha 'Tindikali" ila ulimsahau Supervisor wa hawa vichwa watatu Mwigulu Nchemba mzee wa China. Pamoja sana mkuu.UVCCM kwa sasa ina vichwa vitatu vikuu ambavyo vinafanyakazi usiku na mchana kuhakikisha CCM inazidi kupendwa sana. Vijana hao ni Mtera Mwampamba, Juliana Shonza na Tesha 'Tindikali' wengine waliobaki ama wamezubaa au CCM imewatupa.
- Inasikitisha na kushangaza sana kuona UVCCM Taifa ikiwa kimya sana hasa katika kipindi hiki cha Rasimu ya Katiba mpya, ambapo Jumuiya zote za CCM zipo mbio mbio sana kuelimisha wanachama wetu kuhusu msimamo wa CCM kuhusu Katiba mpya. I mean mbona kuna vichwa sana huko kama kina Jerry Silaa, Deo Ndejembi na Anthony Mavunde, nilitegeemea mtawatumia sana hawa Vichwa kuirudishia UVCCM hadhi yake ya enzi za TANU Youth League ya kina My Uncle Elly Anangisye, lakini badala yake imekuwa ni Jumuiya mbili tu zinazosikika yaani Wazazi na UWT, kulikoni huko UVCCM?
- Jitahadini jamani, huu ni mwendo wa nginja nginja, habaki mtu nyuma CCM mbele tu, UVCCM kazeni buti watumieni vichwa hao twende kwa mbele!!
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!
Le Mutuz Live In Mbeya!!
Mkuu umefurahisha na kunichekesha ile mbaya asubuhi ya leo lakini najua kwa nini umefanya hivyo kuwataja hao watatu kuwa vichwa vya uvccm yaani Mtera Mwampamba, Juliana Shonza, na Musa Tesha 'Tindikali" ila ulimsahau Supervisor wa hawa vichwa watatu Mwigulu Nchemba mzee wa China. Pamoja sana mkuu.
Hivyo vichwa vina madaraka gani ndani ya UVCCM? Mkuu ina maana Mwenyekiti na Katibu si vichwa?
Shigela na Edda wapo Zanzibar wanakula good time... Chezeya CCM wewe e?...
Hao wote uliowataja hawapo Uvccm na hawana nyadhifa zozote, nyie roho zitazidi kuwauma kwa mda mrefu sana ujao kwa jinsi hao vijana wanavoyabomoa machadema
Ukiacha Shigela aliyeko Zanzibar, hivi viongozi wengine wa UVCCM ni akina nani?...
Uzinzi wa Katibu mkuu wa Vijana nao ulitia aibu ndiyo maana tangu ishu za makamu mwenyekiti ziletwe hapa ameshindwa kabisa kuitisha kikao cha nidhamu.
Mwenyekiti nae mgonjwa wa akili.Ndiyo kambi ya EL hii.Paul Makonda aliwaambia mbingu husimama nyuma ya anayeonewa.Ndiyo hiki sasa kinachotokea