Kulikoni Polepole kukaa kimya sakata la CAG?

Yule ni wale wale tu mavi.

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Anahangaika kutafuta fedha wanazodaiwa na NSSF maana kwa jinsi wanavyojinasibu na uzalendo lakini wanakula hela za wanyonge bila kuzipeleka mahali husika ameona bora wazipeleke halafu aje na propaganda kuwa zilicheleweshwa na mifumo ya kibenki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
CAG mwanafunzi wa Chakubanga?! sijaelewa hapo mkuu!
Muone hapa mwaka jana akichambua report ya CAG kuhusu 1.5T
Alikua anashusha mahesabu kumkosoa CAG aliyesema 1.5T hazionekani zilipo. Slow slow alishusha magazijuto watanzania "wakaelewa" kuliko ile report.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: MTK
Hii ripoti ya juzi supika imemuharibia kwa kuamsha hamasa kubwa ta wananchi kutaka kujua kulikoni kwenye ripoti ya CAG huyo wanayemchukia na kumsusia? kwa hiyo hilo limesababisha chakubanga aingie mafichoni kwanza kujipanga vizuri zaidi tofauti na huko nyuma ambapo wananchi walikuwa wanazichukulia poa ripoti za CAG!!
 
Kaogopa kuzungumza sababu alishaumbuka na yale mahesabu yake feki kuhusu zile 1.5tr
Sent using Jamii Forums mobile app
 
With due respect Prof Assad si level yake.
Hiki anachofanya CAG ni parefu sana..ni vyema atulie tu..atadhalilika sana tena sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polepole viatu alivyo vaa ni vikubwa mno kwake,ni heri angerudi kwenye fani yake.Vitimbi,viroja na mizengwe iliyoko CCM haiwezi.CCM ina wenyewe walioizoea,aondoke awaachie hatoweza.
 
Sasa hivi mwenye shibe hamjui mwenye njaa.
 

Chama hakija peleka michango ya wafanyakazi wa chama chake NSSF, GEPF, LAPF kwa mabillioni kama CAG alivyogundua! Chama lazima kuonyesha mifano mizuri ili kiweze kukemea maovu!!!I hope I am not wrong but if am wrong please correct me.
 
Mafisadi waliomaanishwa ni wale wanaokihujumu chama cha CCM i.e Upinzani. Na kwetu CCM fisadi mkubwa ni Mbowe na Lisu na wanatetewa na watu kama Lema,Mdee n.k. Hawa ni maadui wa taifa na hakika hatutawaacha.
 
Mafisadi waliomaanishwa ni wale wanaokihujumu chama cha CCM i.e Upinzani. Na kwetu CCM fisadi mkubwa ni Mbowe na Lisu na wanatetewa na watu kama Lema,Mdee n.k. Hawa ni maadui wa taifa na hakika hatutawaacha.
wakupimwa [emoji90] [emoji90] [emoji126] [emoji196] ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafisadi waliomaanishwa ni wale wanaokihujumu chama cha CCM i.e Upinzani. Na kwetu CCM fisadi mkubwa ni Mbowe na Lisu na wanatetewa na watu kama Lema,Mdee n.k. Hawa ni maadui wa taifa na hakika hatutawaacha.
[emoji196] [emoji126] [emoji90] [emoji201] [emoji241] [emoji83] [emoji216]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…