Kima mdogo
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 303
- 46
Ni Mipango ya mungu tu.
kwani kiongozi ndo hafi???
Huyu Sumari nakumbuka alikataliwa kue Arumeru Mashariki, Baada ya kuiba kura na kuchukua nafasi kwa nguvu wazee walitamka hadharani ya kwamba Hataingia Mjengoni hata kidogo!
Hili la Mwakyembe, Ni PM nikupe Mchezo uliofanyika na nani anahusika!

Hapana Mungu hana mipango mibaya na waja wake. Si kila ugonjwa na kila kifo ni Yehova analeta kwa wanadamu. Msimfanye Mungu akaonekana kama adui.
Umenena vema kabisa, mshahara wa dhambi ni mauti, kwaile dhambi ya adamu ndio maana tunaugua na kufa.Hapana Mungu hana mipango mibaya na waja wake. Si kila ugonjwa na kila kifo ni Yehova analeta kwa wanadamu. Msimfanye Mungu akaonekana kama adui.
Hawa ni baadhi ya madiwani walioaga dunia toka waapishwe 2010
1. Diwani wa Sichombo
2. Diwani wa Chang'ombe - Dodoma
3. Diwani wa kikuyu kusini
4. Diwani wa Monduli
5. Diwani wa Siha Kilimanjaro
6. Ngangilonga Iringa
....na hawa ni baadhi ya WABUNGE/MAWAZIRI WANAOUGUA HOI KITANDANI
1. MARK MWANDOSYA
2. JEREMAYA SUMARI (toka ashinde ubunge hajawahi kuingia bungeni na wala hajaapishwa)
3. H. MWAKYEMBE
Badala ya kusikitika kwa msiba mkubwa wa Space Islanders unaleta habari za ajabu ajabu.