Kulikoni NAMBA ZA KUCHANGIA SADAKA NA MICHANGO MAKANISANI ZIWE NA MAJINA YA WATUMISHI?

DATAZ

JF-Expert Member
May 25, 2012
2,453
5,985
Habari za jumapili wanaJF,

Makanisa mengi au huduma nyingi za kiroho zina utaratibu wa kuomba sadaka au michango kwa njia za M-PESA, TIGOPESA au hata kwa BANK ACCOUNTS.

Cha ajabu licha ya makanisa au huduma hizi kuwa na majina rasmi, Mfano, FULL BIBLE FELLOWSHIP CHURCH, MLIMA WA MOTO, KANISA LA UFUFUO NA UZIMA, EPHATA, RADIO SAFINA n.k,
Utakuta majina yaliyosajiliwa katika namba hizo kupokelea fedha na michango ni majina ya watumishi viongozi.

USHAURI:

Ili kuleta credibility kwa huduma hizi ni vyema majina yaliyosajiliwa kutambulisha huduma na makanisa haya yakatumika.

Jumapili njema!
 
itafika wakati hata mahubiri yatarushwa kwa njia ya face book, twiter etc................
 
Back
Top Bottom