Kulikoni Mzee wetu Aboud Jumbe

Kulikoni Mzee wetu Aboud Jumbe

Hivi, Karume alipoamua kupindua utawala wa Sultani alitoa fursa gani kwa Wazanzibari kujadilia na kutoa radhi yao?
Karume alipindua? au...? Ulikuwepo wakati wa Mazishi ya Kawawa? au Ulisikia kilichozungumzwa?....Wakati Mapinduzi yanafanyika karume yupo DSM...!!!
 
Aboud Jumbe Mwinyi alikuwa Rais wa pili wa Zanzibar toka mwaka 1972 hadi mwaka 1982 alipotimuliwa na CCM baada ya kuchafuka kwa hali ya hewa.Nasikia siku hizi anaishi mji mwema kigamboni Dar es Salaam akisubiri siku zake ziishe hapa dunia.

Mbona hamjajibu hoja?Kama kweli Jumbe alikuwa anapenda sana Zenji,mbona bado yuko Mji Mwema mpaka leo?Je ana watoto?
Kama mnasema yuko kizuizini Mjimwema mpaka leo ,hii ni ajabu
 
ngwendu said:
Nilikuwa sijui kama nyerere alikuwa dikteta kiasi hiki. yaani alikuwa analotaka ndo linalokuwa. Hii ni aibu kwa mtawala ambaye kila kukicha anasifiwa. Alietaka awe rais ndo aliekuwa. Hakupenda kupingwa wala mtu kuwa na mawazo mbadala. Hii ni hatari kwani akiwa hata na maoni ambayo hayana tija kama ya muungano hamna wakumshauri. we do not need a leaders of such kind. KULIKUWA NA UBAYA GANI WA KUACHIA HOJA KAMA ILIKUWAPO KWA MFANO HII YA MUUNGANO KUJADILIWA NA KUWA NA RADHI YA JAMII ZOTE HUSIKA? AU KWENYE HUO MUUNGANO KUNA SIRI GANI? KWA NINI HAKUTAKA KUJADILIWA? MATOKEO YAKE NAONA WATU WANAMKEJELI TU MZEE JUMBE. SISHANGAI HUENDA HUYU MZEE ALIKUWA SAHIHI. This is a century shame!

Ngwendu,

..kwenye haya masuala ya Muungano kuna unafiki wa kupindukia.

..Maalim Seif Sharrif Hamad, alikuwa ndiye kinara ktk kumshambulia na kumkandamiza Alhaj Aboud Jumbe, ktk kikao cha CCM-NEC kilichomlazimisha[Jumbe] kujiuzulu.

..baada ya kutimuliwa toka nafasi wa waziri kiongozi Maalim Seif Sharrif Hamad akageuka na kuiteka nyara hoja ileile aliyokuwa akiisimamia Mzee Jumbe. tena Maalim Seif alikwenda mbali zaidi mpaka kuisifia na kuitukuza dola ya Sultani wa Zanzibar iliyokuwa maarufu kwa biashara ya watumwa.

..halafu kuna Dr.Salmin Amour Juma. huyu alikuwa akipingana, na kurushiana vijembe, na wabunge 55 wa bunge la Jamhuri waliokuwa wakidai kuundwa kwa serikali ya Tanganyika. kama utakumbuka kule Dodoma alipowatishia kwamba "msitingishe kiberiti..."

..mambo mengi aliyoyafanya Mwalimu kuhusu Muungano utabaini kwamba kulikuwa na wa-Zenj waliokuwa wakimuunga mkono. hata Aboud Jumbe anatuhumiwa kuanza kuuhoji Muungano pale alipoona dalili za Mwalimu kum-groom Edward Sokoine[waziri mkuu] kuchukua nafasi ya Uraisi wa Muungano.

..kumekuwa na kelele za muda mrefu toka kwa wanasiasa wa Zenj kwamba hawataki Muungano. majuzi wakapitisha kura ya maoni kuleta serikali ya mseto Zenj. sasa wengine tunajiuliza: ni kwanini hawakutumia fursa hiyo kuitisha kura ya maoni kuhusu suala la Muungano?

..kituko kikubwa zaidi ni kwamba Maalim Seif na Dr.Shein, wote wametamka kwamba wataimarisha muungano. kwanini wanataka kuimarisha muungano ambao wa-Zenj wanauping? kwanini wasiitishe kura ya maoni kupata baraka za wa-Zenj?

..hapo nakuonesha unafiki wa hawa wanasiasa. wakikosa madaraka wataanza tena shutuma zao dhidi ya muungano.
 
Karume alipindua? au...? Ulikuwepo wakati wa Mazishi ya Kawawa? au Ulisikia kilichozungumzwa?....Wakati Mapinduzi yanafanyika karume yupo DSM...!!!
Whatever. But my point is waliompindua Sultani waliwashirikisha ninyi Wazanzibari kutoa radhi yenu?
 
Hivi, Karume alipoamua kupindua utawala wa Sultani alitoa fursa gani kwa Wazanzibari kujadilia na kutoa radhi yao?[/QU
unamaanisha na nyerere alifanya mapinduzi Zanzibar? Si ule muungano tunaohubiriwa na viongozi wetu kilasiku? kama ni hivyo kwanini Zanzibar tusiite koloni letu? Jamani tuwe wakweli, kama hayo yaliyoandikwa hapo juu ni kweli basi nyerere alikuwa dikteta. kulikuwa na uhuru gani kumwondoa rais aliopo madarakani kikatiba bila ya ridhaa ya wale anaowaongoza? au nyerere alijivisha joho la wazanzibari wote?
 
Hivi, Karume alipoamua kupindua utawala wa Sultani alitoa fursa gani kwa Wazanzibari kujadilia na kutoa radhi yao?

unamaanisha na nyerere alifanya mapinduzi Zanzibar? Si ule muungano tunaohubiriwa na viongozi wetu kilasiku? kama ni hivyo kwanini Zanzibar tusiite koloni letu? Jamani tuwe wakweli, kama hayo yaliyoandikwa hapo juu ni kweli basi nyerere alikuwa dikteta. kulikuwa na uhuru gani kumwondoa rais aliopo madarakani kikatiba bila ya ridhaa ya wale anaowaongoza? au nyerere alijivisha joho la wazanzibari wote?
 
Ngwendu,

..kwenye haya masuala ya Muungano kuna unafiki wa kupindukia.

..Maalim Seif Sharrif Hamad, alikuwa ndiye kinara ktk kumshambulia na kumkandamiza Alhaj Aboud Jumbe, ktk kikao cha CCM-NEC kilichomlazimisha[Jumbe] kujiuzulu.

..baada ya kutimuliwa toka nafasi wa waziri kiongozi Maalim Seif Sharrif Hamad akageuka na kuiteka nyara hoja ileile aliyokuwa akiisimamia Mzee Jumbe. tena Maalim Seif alikwenda mbali zaidi mpaka kuisifia na kuitukuza dola ya Sultani wa Zanzibar iliyokuwa maarufu kwa biashara ya watumwa.

..halafu kuna Dr.Salmin Amour Juma. huyu alikuwa akipingana, na kurushiana vijembe, na wabunge 55 wa bunge la Jamhuri waliokuwa wakidai kuundwa kwa serikali ya Tanganyika. kama utakumbuka kule Dodoma alipowatishia kwamba "msitingishe kiberiti..."

..mambo mengi aliyoyafanya Mwalimu kuhusu Muungano utabaini kwamba kulikuwa na wa-Zenj waliokuwa wakimuunga mkono. hata Aboud Jumbe anatuhumiwa kuanza kuuhoji Muungano pale alipoona dalili za Mwalimu kum-groom Edward Sokoine[waziri mkuu] kuchukua nafasi ya Uraisi wa Muungano.

..kumekuwa na kelele za muda mrefu toka kwa wanasiasa wa Zenj kwamba hawataki Muungano. majuzi wakapitisha kura ya maoni kuleta serikali ya mseto Zenj. sasa wengine tunajiuliza: ni kwanini hawakutumia fursa hiyo kuitisha kura ya maoni kuhusu suala la Muungano?

..kituko kikubwa zaidi ni kwamba Maalim Seif na Dr.Shein, wote wametamka kwamba wataimarisha muungano. kwanini wanataka kuimarisha muungano ambao wa-Zenj wanauping? kwanini wasiitishe kura ya maoni kupata baraka za wa-Zenj?

..hapo nakuonesha unafiki wa hawa wanasiasa. wakikosa madaraka wataanza tena shutuma zao dhidi ya muungano.
Thanx
 
..huyu Jumbe alikuwa anapinga Muungano, halafu leo hii hataki kurudi kwao Zanzibar. miaka yote ameendelea kujibanza Mjimwema, Kigamboni.......
.

Aboud Jumbe ni Mzaramo halisi, alihamia Zanzibar na wazazi wake akiwa mdogo kwa hio mjimwema ni nyumbani kwao vile vile.
 
kweli said:

Kweli,

..unadai Jumbe ni Mzaramo, sasa alikuwa akipinga muungano kwa minajili gani?

..Sheikh Idiris Abdul Wakil aliyekuwa kajibanza Ilala-Bungoni naye alikuwa kabila gani?

..Maalim Seif Sharrif naye kila siku yuko Bara, lakini haishi kujitutumua kuupinga muungano.

..tatizo hapa ni UNAFIKI na uchu wa MADARAKA.

..kama watu wanapinga muungano wakusanye virago warudi kwao Zenj, watuachie Tanganyika yetu.
 
unamaanisha na nyerere alifanya mapinduzi Zanzibar? Si ule muungano tunaohubiriwa na viongozi wetu kilasiku? kama ni hivyo kwanini Zanzibar tusiite koloni letu? Jamani tuwe wakweli, kama hayo yaliyoandikwa hapo juu ni kweli basi nyerere alikuwa dikteta. kulikuwa na uhuru gani kumwondoa rais aliopo madarakani kikatiba bila ya ridhaa ya wale anaowaongoza? au nyerere alijivisha joho la wazanzibari wote?
Nyerere aliapa kulinda katiba ya Jamhuri ya Mwungano. Jumbe alitaka kuvunja katiba hiyo. Alistahili hukumu ya treason lakini akahifadhiwa Mjimwema.
 
..huyu Jumbe alikuwa anapinga Muungano, halafu leo hii hataki kurudi kwao Zanzibar. miaka yote ameendelea kujibanza Mjimwema, Kigamboni.

..anyway, inasemekana alitafuta Mwanasheria toka Ghana, akiitwa Kwah Swanzy, kumsaidia kuandaa kesi ya kikatiba dhidi ya serikali ya Muungano.

..inasemekana nyaraka za suala hilo zilichomolewa toka ktk ofisi ya Raisi wa Zanzibar, na kupelekwa kwa Juliasi.

..baada ya hapo sisi wananchi tulishtukizwa tu na habari toka makao makuu ya chama dodoma, kwenye kikao cha NEC, kwamba Mzee Jumbe amejiuzulu na nafasi yake imechukuliwa na Ali Hassan Mwinyi.

..inasemekana humo mwenye kikao cha NEC, vinara wa kutoka Zenj katika kumshambulia Alhaji Aboud Jumbe, alikuwa ni huyu Maalim Seif Sharrif Hamad.

..baada ya sakata hiyo, Maalim Seif Sharrif Hamad, aliteuliwa kuwa Waziri Kiongozi, akichukua nafasi ya Brig.Ramadhani Haji Faki.

..wanasiasa mbalimbali wa Zenj, mfano Col.Seif Bakari, waliingia ktk mkumbo mmoja na Aboud Jumbe, na kuwekwa kizuizini Bara.

..mambo yalitulia kidogo, lakini yakaja kuchafuka zaidi wakati Ali Hassan Mwinyi alipoteuliwa kumrithi Mwalimu Nyerere, na Sheikh Idiris Abdul Wakil kuteuliwa kugombea nafasi ya Uraisi wa Zanzibar.

NB:

..Sheikh Idiris Abdul Wakil alikuwa akiishi Ilala-Bungoni kabla ya kuteuliwa kuwa Raisi wa Zenj.

..ndiyo maana nasema hawa wa-Zenj dawa yao ni kuwatimua wote toka Bara warudi kwao wakaongee vizuri kuhusu kuvunja muungano.

you are so wrong .jumbe alitaka serikali 3 sio kuvunja muungano.kama mnakumbuka nyerere alimuuliza ramadhan faki 1+1=? ramadhan faki akasema 3 .ambayo maana yake ni serikali ya zanzibar,serikali ya tanganyika na serikali ya muungano.
 
Nilikuwa sijui kama nyerere alikuwa dikteta kiasi hiki. yaani alikuwa analotaka ndo linalokuwa. Hii ni aibu kwa mtawala ambaye kila kukicha anasifiwa. Alietaka awe rais ndo aliekuwa. Hakupenda kupingwa wala mtu kuwa na mawazo mbadala. Hii ni hatari kwani akiwa hata na maoni ambayo hayana tija kama ya muungano hamna wakumshauri. we do not need a leaders of such kind. KULIKUWA NA UBAYA GANI WA KUACHIA HOJA KAMA ILIKUWAPO KWA MFANO HII YA MUUNGANO KUJADILIWA NA KUWA NA RADHI YA JAMII ZOTE HUSIKA? AU KWENYE HUO MUUNGANO KUNA SIRI GANI? KWA NINI HAKUTAKA KUJADILIWA? MATOKEO YAKE NAONA WATU WANAMKEJELI TU MZEE JUMBE. SISHANGAI HUENDA HUYU MZEE ALIKUWA SAHIHI. This is a century shame!

na kibaya kuliko chote ktk kipindi hiki ndio wakapora mamlaka mengi ya rais wa zanzibar na serikali ya zanzibar.

ikawa wanafanya mabadiliko ya katiba kihuni, na kuwatisha wajumbe kutoka zanzibar kuwa anaepinga muungano atakiona

ndio ukaona leo tuna mzozo kwenye mafuta, yaliingizwa kinyemela wakati huo, masuali ya mahusiano ya nje na mengine mengi. masuali ya passi ya kuingia zanzibar

lkn la kunuka halina ubani sasa wazanzibari kwa hili wamejipanga na wanajua kuwa jumbe ameonewa na alikuwa yuko sawa na madai yake yalikuwa yako sawa

na mm nnapenda kusema wazi wazanzibari tulio wengi tunapenda muungano udumu, ila uwe kwa maslahi ya pande zote mbili

uridhiwe na ndugu zetu watanganyika na kama wanataka serikali yao waunde na ss tubakie na yetu

tujadiliane bila ya vitisho vipi tunaweza kunufaika na huu muungano, bila ya kujali ss wengi au wale wachache

huu ni muungano wa nchi mbili zilizo huru, kwa mwalimu aliiba uhuru wa nchi ya zanzibar na kutaka kuwakolonized hapa simsamehe mwalimu kabisa

mm ni shabiki wa CCM na nnajua vp kilianza, kama Aboud Jumbe angekataa kuunganisha ASP na TANU basi CCM isngekuwepo, kwa lugha nyepesi yeye ni mmoja wa waasisi wa CCM ingawa kwa hili niwe muwazi CCM imemdharau muasisi wake kwa kuwa alikuwa huru kutoa maelezo yake na uoni wake akiwa mtu huru

na haya yamewakuta viongozi wengi wa zanzibar tuna matumaini ktk kipindi hiki wazanzibari watakuwa wameungana na kuja kuzungumza masuali haya kwa umoja ili watanzania waelewe na wachangie kwa maslahi ya Taifa lao
 
Mtu wa Pwani,
Hivi uliona wapi kanchi ka watu milioni moja kakawa equal partners na linchi la watu milioni 40 plus? Hata hapa Marekani huwezi kulinganisha nguvu za Rhode Island na Texas katika mwungano wa USA. Katu Zanzibar haiwezi kuwa equal partner na Tanganyika. You need us more than we need you.
 
ndugu yangu jasusi hebu nijuilishe vipi share za mamlaka ktk EAC, UN, EU na nyenginezo kwa nchi wanachama zinaangaliwa kwa ukubwa wa nchi au kwa uwakilishi wa nchi, nnakusudia uwakilishi mgawanyo wa majukumu na mengineyo

cha msingi wakati umefika tuzungumze kwa uwazi wa kututisha keshakufa tuliobaki tuzungumze hatma ya taifa letu
 
Mbona hamjajibu hoja?Kama kweli Jumbe alikuwa anapenda sana Zenji,mbona bado yuko Mji Mwema mpaka leo?Je ana watoto?
Kama mnasema yuko kizuizini Mjimwema mpaka leo ,hii ni ajabu

ana haki ya kuishi hapo au akitaka kurudi zanzibar, sheria za kuishi zinamruhusu

au wewe hupendi aishi mji mwema ?

na kuishi pahala hakumuondolei yeyote kuipenda sehemu nyengine mm nnaipenda kufa zanzibar na tanzania na nna muda sasa sijaishi jee siipendi?
 
Lemme shooting off the hip, according to credible sources.
Makamu mwingine wa rais aliyekuwa anaandaliwa kwa urais alikuwa daktari wa mifugo Omar Ali Juma, yeye anguko lake la umauti lilitokana na kuchanganya Viagra na kahawa- a deadly combination-, kitu ambacho kama mtaalamu wa mambo ya baiolojia angetakiwa kukijua.

Hii kali ya kufungia mwaka 2010, viagra na kahawa! Uongo mwengine hauna hata mwelekeo jamani.
 
Mtu wa Pwani,

..huu muungano ni kusumbuana tu na kutafutana lawama.

..hizi sheria za ukaazi nadhani zibadilishwe. wa-Zenj mje Tanganyika kwa vibali maalum.

..hakuna Mtanganyika mwenye shida ya kuishi Zenj, labda changudoa au korokoroni.

..MUUNGANO HAUNA FAIDA KWA WA-TANGANYIKA NA NI BORA UVUNJWE HATA KESHO.
 
Mtu wa Pwani,
Hivi uliona wapi kanchi ka watu milioni moja kakawa equal partners na linchi la watu milioni 40 plus? Hata hapa Marekani huwezi kulinganisha nguvu za Rhode Island na Texas katika mwungano wa USA. Katu Zanzibar haiwezi kuwa equal partner na Tanganyika. You need us more than we need you.

Wajinga ndio waliwao,Watanganyika waliipenda Zanzibar kupita mipaka,kinachotusumbua Tanzania Bara ni ugonjwa ujulikanao kama TANZAPHILIA (Excess love) kupenda kitu kupindukia kwa gharama zozote.
 
..huyu Jumbe alikuwa anapinga Muungano, halafu leo hii hataki kurudi kwao Zanzibar. miaka yote ameendelea kujibanza Mjimwema, Kigamboni.

Huyu ni kwamba hakujiuzulu bali alifukuzwa na Nyerere na kuwekwa kizuizini huko kigamboni. Barua ya kujiuzulu iliandikwa chini ya ulinzi
 
Nilikuwa sijui kama nyerere alikuwa dikteta kiasi hiki. yaani alikuwa analotaka ndo linalokuwa. Hii ni aibu kwa mtawala ambaye kila kukicha anasifiwa. Alietaka awe rais ndo aliekuwa. Hakupenda kupingwa wala mtu kuwa na mawazo mbadala. Hii ni hatari kwani akiwa hata na maoni ambayo hayana tija kama ya muungano hamna wakumshauri. we do not need a leaders of such kind. KULIKUWA NA UBAYA GANI WA KUACHIA HOJA KAMA ILIKUWAPO KWA MFANO HII YA MUUNGANO KUJADILIWA NA KUWA NA RADHI YA JAMII ZOTE HUSIKA? AU KWENYE HUO MUUNGANO KUNA SIRI GANI? KWA NINI HAKUTAKA KUJADILIWA? MATOKEO YAKE NAONA WATU WANAMKEJELI TU MZEE JUMBE. SISHANGAI HUENDA HUYU MZEE ALIKUWA SAHIHI. This is a century shame!

we were small nation, we did not need any kind of these mumbo jumbo issues! we needed to settle and concentrate on development issues!
 
Back
Top Bottom