Invisble275
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 982
- 1,166
Mkuu Kumbe nawwe iliku-bore? Mimi nilimshangaa kweli. Ndo nikajua kumbe hawa wabunge wapo kwa mslahi yao binafsi. Mbona Miswada mingine huwa wanapitisha tu na hajawahi kutoa tahadhali kwa wabunge wenzake. Huyu naye hovyo tu.kaletewa Shangazi pale hafurukuti,kaniboa juzi alivo watonya wasema ndio kuwa kuna mswada unletwa eti wausome vzr wasikurupuke kisa utawabana biashara zao,mbona ile ya hovyo walioipigania hakutoa angalizo hilo? aibu sana nchi yetu,