Kulikoni Mheshimiwa Spika, Job Ndugai?

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,056
10,721
Najiuliza tu;

Mheshimiwa Spika wetu, Mheshimiwa Job Ndungai, more often than not, haonekani kitini na hata katika shughuli za kitaifa ambazo bunge pia linahusika!,

KulikoniI?!
 
Najiuliza tu;

Mheshimiwa Spika wetu, Mheshimiwa Job Ndungai, more often than not, haonekani kitini na hata katika shughuli za kitaifa ambazo bunge pia linahusika!,

KulikoniI?!
Ndugai alikuwa mgonjwa kitambo, hivi juzi tu ndo amepona
 
Nahisi afya yake haiko sawa! System ilimweka sawa wakati wa escrow sasa hawakujua kama atakuja kuwa speaker, too bad
 
kaletewa Shangazi pale hafurukuti,kaniboa juzi alivo watonya wasema ndio kuwa kuna mswada unletwa eti wausome vzr wasikurupuke kisa utawabana biashara zao,mbona ile ya hovyo walioipigania hakutoa angalizo hilo? aibu sana nchi yetu,
 
Pale imekuwa ni kijiwe cha story yaani zero brain kabisa. Nahisi hili bunge ndio litakosa mvuto ever
 
kaletewa Shangazi pale hafurukuti,kaniboa juzi alivo watonya wasema ndio kuwa kuna mswada unletwa eti wausome vzr wasikurupuke kisa utawabana biashara zao,mbona ile ya hovyo walioipigania hakutoa angalizo hilo? aibu sana nchi yetu,
mwacheni dada shangazi asimamie. ata akina mama walitukanwa yeye kaona sawa. Asante mama 6 uliguswa....sasa tunamsubiri uyo mh. aliyewatukana wake zetu ajitokeze na kuomba radhi, vinginevyo....
 
Kuna kati ya mambo mawili yatakuwa yamempata, hana nguvu ya kukabiliana na unga uliowahi kumwagwa bungeni au amekikalia kiti kilichokuwa cha Sitta ambacho Makinda ametoka bila kukikalia.
 
Back
Top Bottom