Kulikoni Mheshimiwa Spika, Job Ndugai?

Kulikoni Mheshimiwa Spika, Job Ndugai?

Nature ikiamua kukuadhibu hakuna dawa chini ya jua itayokuponesha. Watu huwa wanajisahau sana hasa kwenye kutenda haki... Kuna usemi unasema, Watu wazuri siku zote hawadumu kwani Mungu huwahitaji wakaipambe mbingu yake... sijui sasa sisi ni watu gani? Anyway tukumbuke kutenda mema kwa wenzetu haya yasitupate maana sipati picha sisi tusiokuwa na uwezo wa kwenda Appolo!!!
 
Back
Top Bottom