Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,500
- 34,836
Huku kukiwa bado kuna fukuto kubwa la kuvunjika Kwa penzi lake na Kajala, Harmonize amejikuta kwenye vita nzito na mwanadada presenter Maimartha Jesse.
Eeh bhana eeeh mwanadada presenter Maimartha Jesse inasemekana ametishia mpaka kumpeleka mahakamani Konde boy , Kwa kile kinachodaiwa kumtishia kumuua.
Katika pita pita zangu nikiwa nafanya utalii Instagram nikakutana na clip yenye majibizano makali Kwa njia ya simu Kati ya Maimartha Jesse na Konde boy. Nini kimetokea , wajuzi mtujuze