kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 8,992
- 17,892
Nimechoka ile mbaya na kila mtu nikimuona kwa upande wangu ananieleza aidha ana mafua au nimonia
Mimi mwenyewe ni mhanga.
Mpaka nina marafiki na jamaa kama watano hivi wa karibu yangu wanasema wana tatizo la Nimonia.
Juzi Jumatatu nilikuwa hospitali moja hivi nilikwenda kwa ajili ya kutibu mafua maana toka January 05 yalivyoanza kunisibu yananisumbua tu nilishangaa kila mtu anayekuja hospital muda huo wengi wanakuja kwa ajili ya kutibu mafua.
Sasa hii lugha ya Nimonia na mafua ishaanza kujaa kichwani mwangu?Kuna nini wakuu?