jamani huyo si alikuwaga soja? Inakuwaje soja anajiachia mwili hivyo? Jaman tuzingatie mazoezi japo mara mbili kwa wk, sasa unakuta mtu katembea sana kwa miguu ni mita kumi mda wote kwenye gari akitoka hapo ni kwenye sofa lzm miguu ielemewe na mzigo kwa nini hawaigi mfano kwa mzee Ruksa?