Kulikoni jolly club!!!

Nani kasema machangu ndio wenye virusi pekee,hata wasio machangu wanavirusi an hata walio kwenye ndoa wana virusi pia,muhimu jiangalie mwenyewe na si kushuparia makundi ya watu,hata machangudoa ni watu pia na wanasitahili heshima nani asiye changundoa hapa duniani,hata ukila tunda na mtu usiyefunga ndoa nae hata kama ni mchumba wako wewe unabaki kuwa changudoa,au tunafikiri uchangundoa lazima ajiuze Jolly nini,na hao wanaotaka uwapeleke luch au uwatumie vocha au uwapangishie nyumba nao ni haohao machangudoa
 
Nafikiri machangudoa wana mchango flani katika kuleta peace of mind na satisfaction kwa mwanaume bila usumbufu unaoendana na hizi relationship. Nafikiri ni njia nzuri ya sexual satisfaction second only to masturbation ikiwa ikitumika kwa usahihi na kuzingatia usalama wa afya. Usichague michangu michafu au ile miteja au ile ambayo ni obviously ina tabia mbaya kama kutukana au kujiuza hadharani sana. Wapo waliokaa fresh tu, yani hata ukikaa nae sehemu ni vigumu mtu kustukia ni changu. Kikubwa mnamalizana mnaagana, hakuna kupigiana simu, kuombwa vocha au kuambiwa habari za nani ana shida etc. Lakini pia ina changamoto zake, na kuzoea sana kuna athari nyingine hata kama sio ukimwi.
 
Afadhali wamepata mteteze .
 
Mtu B kwa kweli umeongea jambo la maana sana, nakufagilia mkuu.
 
Watafute watu hawa watakusaidia kuwapata mabinti wazuri wanaomjua MUNGU ambao kwao dhambi ni MWIKO uasherati BAIBAI matamanio KWA HERI....! Kwao kuna sauti nyororo za sifa, miguu ielekeayo nyumba ya ibada macho yaliyolegea kwa ajili ya KUMLILIA aliye juu......!
1. MOSES KULOLA
2. DUSTAN MABOYA
3. ABIUD MISHOLI
4. POWER MABULA
WATAFUTE HAWA TAFADHALI NAWE UTAPATA jibu zuri la swali lako maridhawa....!
 
Back
Top Bottom