Kulikoni jolly club!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kulikoni jolly club!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by GAMBLER, Dec 7, 2009.

 1. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2009
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Miaka ya nyuma mimi nilikuwa mteja mzuri wa jolly club. Kila ninapofika pale hukutana na mabinti wazuri sana kutoka mikoa mbali mbali ya tz. Na kila baada ya muda mfupi huwasili mabinti wapya kutoka mikoani. Siku za karibuni nimejaribu kwenda jolly.wanawake nilokutana nao hawana mvuto kabisa na ni mishangingi iliyoshindikana.na kila unapoenda unakutana nao hao hao tu. Nikajaribu kuuliza sikupata majibu ya kuridhisha. Wengine waliniambi uongozi wa jolly wanawacharge wanawake alfu kumi ndio maana wamekimbia.wengine wakaniambia kwa sababu ya mtikisiko wa kiuchumi ,n.k. Nimejaribu kwenda sehemu zingine kama q bar, kinondoni.wanawake wa huko hawana mvuto na wengi wao ni mateja. Ningependa wana jf wenye kujuwa wapi hapa dar naweza kupata sehemu yenye mabinti wenye mvuto?? Nitashukuru sana kwa msaada wenu
   
 2. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Maasai club K'ndini, Na baadhi ya bar Sinza! Ila jikinge na Ukimwi unaua
   
 3. GP

  GP JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mkuu hueleweki, ulikua mteja wa JOLLY CLUB au ulikua mteja wa MADEMU WA JOLLY CLUB???.
  kama ulikua mteja wa JOLLY CLUB nadhani bado haijahama iko palepale, kama ulikua mteja wa wale machangu nadhani ungetafuta namba zao za simu, kwani hukuwai hata kuomba namba zao za simu japo mmoja??
   
 4. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2009
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Binafsi sidhani kama ni busara wana JF wakushauri jinsi bora ya kufa, kwa busara ni vyema UKAFA PEKE YAKO ili nduguzo wasijekutulaumu.
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mkuu nenda pale Afrika sana Corner bar au maarufu Ambiance ukishindwa hapo tembea mpaka Meeda natumaini utaenjoy.
   
 6. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #6
  Dec 7, 2009
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  vipi uwanja wa fisi Manzese!! ila wewe ni nomaaa unaulizia jinsi ya kupata machangu kwenye jamii!!!
   
 7. s

  sikukuu Member

  #7
  Dec 7, 2009
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni ujinga na upuuzi kushauriana kitu kisichokuwa na faida zaidi ya hasara, kuleta mambo ya ulevi yajadiliwe na wenye akili wapi na wapi???
   
 8. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #8
  Dec 7, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  hii ni njia isiyo nyooka inayoelekea kwenye ban
   
 9. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #9
  Dec 7, 2009
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  duh!!hapa inaonekana greti thinka limekasirika kweli!!.
   
 10. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #10
  Dec 7, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145

  hehehe kaka unaua hahaha
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Dec 7, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,436
  Likes Received: 22,349
  Trophy Points: 280

  hujasikia maneno yanayosema msiikaribie zinaa??
  Kimbia dhambi
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Dec 7, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,436
  Likes Received: 22,349
  Trophy Points: 280

  hujasikia maneno yanayosema msiikaribie zinaa??
  Kimbia dhambi, MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI.
   
 13. Mwana va Mutwa

  Mwana va Mutwa JF-Expert Member

  #13
  Dec 7, 2009
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 429
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  sio kukasirika tu ni dalili za kuishiwa point
   
 14. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #14
  Dec 7, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Ina maana unaishi nje ya Dar na mara kwa mara ukija huwa unapenda kwenda Jolly Club? Basi ndio maana unawaona wamezeeka. Uongozi unawachaji pesa kuingia, kwa hiyo wanaingia wenye kuweza kulipia tu!

  Halafu siku hizi biashara ya machangu imehamia karibu zaid na makazi ya watu, Maasai Club, Kinondoni, Corner Bar - Africa Sana na sehemu zinazofanana na hizo!
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Dec 7, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Kuna documentary moja nimeiona kwenye luninga wakiongelea ukahaba na mengineyo kwenye huo uwanja wa fisi. Wenyewe wanapaita Hyena square.....Lol
   
 16. GP

  GP JF-Expert Member

  #16
  Dec 7, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  NIMEMPOTEZEA mpwa!!!
   
 17. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #17
  Dec 7, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Thats the way to handle i....s! kula senks
   
 18. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #18
  Dec 7, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  huu ni upuuzi! humu sidhani kama ni sehemu ya kuulizia ****. na nyinyi mnaompa ushauri mbovu mnaonekana ni wazinzi wazoefu. kenge nyinyi
   
 19. GP

  GP JF-Expert Member

  #19
  Dec 7, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  iko wapi??
   
 20. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #20
  Dec 7, 2009
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135


  Nadhani Bila kuwa mzoefu na mtumiaji mzuri,huwezi kujua wanapatikana wapi....hata hivyo huyu jamaa ajue kuwa sasa hivi mabinti wengi wanaenda shule za kata...kwa hiyo new comers kwenye bussiness hizi ni wachache kwa sasa.Tumshukuru mkapa kwa kuanzisha shule za kata,japo zinaproduce mazero ya kumwaga.
   
Loading...