Kulikoni: Jet za Jeshi angani Mida hii ?

Hii mixer ya akili jf Kuna muda unacheka na Kuna muda inakera, hv nyie mmnaojiita geat thinkers mnashinwa VP kuhusisha miungurumo ya ndege na tarehe nyekundu kwenye kalenda zenu.
 
Hii mixer ya akili jf Kuna muda unacheka na Kuna muda inakera, hv nyie mmnaojiita geat thinkers mnashinwa VP kuhusisha miungurumo ya ndege na tarehe nyekundu kwenye kalenda zenu.
 
Umepoteza muda wako wa kuswali bure.Ungeutumia kuomba mwenyezi Mungu akuondolee ulofa ulionao ungekuwa umefanya la maana zaidi kwako na familia yako

wewe ni kunguru muoga,ambaye umeridhika na vimiradi vyako viwili vitatu.Ufikirii maslahi ya wengi wanaoteseka mda huu hospital hazina dawa ila watu wachache wamekalia mamilion Ya walipa kodi.
 
Nimetoka sali kanisani leo hii kuomba nchi ipunduliwe na jeshi ishike madaraka kisha Marais wote kuanzia Mwinyi mpaka haka katalii washikwe na kutaifishwa mali zao za wizi kisha kunyongwa ili iwe mfano kwa vinyago wajao. Nimefunga Novena for this.
Ushindwe na ulegee.We ni msafii?
 
Nimetoka sali kanisani leo hii kuomba nchi ipunduliwe na jeshi ishike madaraka kisha Marais wote kuanzia Mwinyi mpaka haka katalii washikwe na kutaifishwa mali zao za wizi kisha kunyongwa ili iwe mfano kwa vinyago wajao. Nimefunga Novena for this.

Profile Picture yako tu inatosha kuelezea unachowaza..
 
09/12/2014 lakini hii pia inaweza ikawa ni STANDBY maana jeshi uwa lipo STANDBY muda wote wao wanaamini 95% ya sehemu ya dunia hakuna amani na ata pale penye aman muda wowote inaweza kutoweka ndio maana muda wote wapo STANDBY... Usiogope alafu c unajua mkuu wa kaya hayupo nchini
 
Back
Top Bottom