Mchekeshaj wa mfalme
Member
- Nov 4, 2014
- 70
- 20
Kunani jamani, Zimepita jet mbili za jeshi angani kwa kasi ya ajabu na kama vile zinaelekea upande wa morogoro road.
Anayejua atujuze please
Anayejua atujuze please
Umepoteza muda wako wa kuswali bure.Ungeutumia kuomba mwenyezi Mungu akuondolee ulofa ulionao ungekuwa umefanya la maana zaidi kwako na familia yakoNimetoka sali kanisani leo hii kuomba nchi ipunduliwe na jeshi ishike madaraka kisha Marais wote kuanzia Mwinyi mpaka haka katalii washikwe na kutaifishwa mali zao za wizi kisha kunyongwa ili iwe mfano kwa vinyago wajao. Nimefunga Novena for this.
Umepoteza muda wako wa kuswali bure.Ungeutumia kuomba mwenyezi Mungu akuondolee ulofa ulionao ungekuwa umefanya la maana zaidi kwako na familia yako
Sasa mkuu zikikaa muda mrefu Si zitapata kutu?,training kwa marubani zinatakiwa zifanyike Mara kwa Mara...usihofu amani ipo...