Kulikoni ITV na Chadema?

Kulikoni ITV na Chadema?

Haha! Bavicha Bwana wataanza kumponda mengi...wasijue kwamba Mengi anarusha habari kwa utashi wake wa kibiashara.

Hawezi kuhatarisha biashara zake kisa Chadema isiyojitambua.

Aliwabeba mkashindwa kubebeka kaamua kuwabwaga.... Nyakati zinabadilika acheni kulilia kama watoto....

Hata hivyo inabidi mmshukuru sana Mengi na ITV yake kwa jinsi alivyojitolea kuwabeba....
Mdanganye tu Mengi, ukwel ni kua ITV haina mvuto tena, TV bora saivi ni azam kwa taarifa ya habari...Itv watch out
 
Hii ITV ya sasa inatofauti kubwa sana na ile iliyopita. Imeonywa ikaonyeka! Magu naona hiyo ndo program yake ya kuinyoosha nchi!
 
Sio lazima kuitizama unafungua aljazira BBC DW kwenye taharifa za watu waduniani sio huku kwenye siasa za unafki
 
Mimi ndio maana naangalia zuku muvi ILA taharifa ya kuisifia ccm na serikari bora nisikilize mziki siasa za tz hazieleweki kabisa ndio maana sipigi kura TENA tuliowapigia TENA tukapoteza muda wetu wamenunuliwa sipigi kura tena
 
Hivi leo kulikuwa na mizengwe! Mpaka yenyewe nishaisahau kabisa, tv nishawaachia madogo kuangalia cartoon tu
Ilikuwepoo mimi hiyo nisiwe mnafikii huwa naifatiliaa nicheke na mkwere bhasiii
 
Haha! Bavicha Bwana wataanza kumponda mengi...wasijue kwamba Mengi anarusha habari kwa utashi wake wa kibiashara.

Hawezi kuhatarisha biashara zake kisa Chadema isiyojitambua.

Aliwabeba mkashindwa kubebeka kaamua kuwabwaga.... Nyakati zinabadilika acheni kulilia kama watoto....

Hata hivyo inabidi mmshukuru sana Mengi na ITV yake kwa jinsi alivyojitolea kuwabeba....

leo wanamtukana....
 
ITV waoga nadhani kuliko TV zote, Yaani hata TBC sasa hivi ni afadhali. Wao wamebaki na ITV Supper Brand tu bila kujua wanaoipa hiyo brand wamebadili test
 
Sikilizeni nyie nyumbu. Wa kuwabeba nyinyi mpaka mwisho ambaye hatachoka ni Shetani peke yake.Mzee Mengi ameshawaelewa sasa na hata baadae mtakavyokuwa .Amesoma mchezo na ameuelewa.Ameshaona nchi lazima iende mbele kwa kufanya kazi siyo kwa majungu na kesi mahakamani.Kwa hili mlaumuni Mbowe na Lowasa waliowaaminisha wazee hawa kuwa urais kwao 2015 ulikuwa hauna mjadala lazima lowasa angepata na mambo yao kibiashara yangenyooka..Ndio akina Juma Mwaoachu lakini yeye akatubu mapema.Hili la ITV kuwageuka ni cha mtoto kwani wiki hii inayoanza mtapata kiwewe kingine cha kuwazima mwaka mzima.
 
Biashara gani bila watazamaji? Hebu uwe unazishirikisha akili zako basi
Kwa hiyo unaamini habari zinazouza ni za Chadema tu, kuna watu nchi hii hata hawajui Chadema ni nini?
 
Utashi wa kumuonyesha jambazi mfojaji wa vyeti lakini si Kamanda Mbowe. Wajue Watanzania si wapumbavu waendelee na utashi wao ila wajue pia Watanzania tuna utashi wa kuangalia TV tuitakayo kutokana na utashi wetu kuhusu mustakabali wa nchi yetu halafu tuone aliyeshika mpini na makali ya kisu ni yupi atakayeumia.
Kwanza nasikitika kuona mtu kama wewe mpaka leo unaimani na Mbowe...

Pili kwenye king'amuzi chako kuna siku umewahi kushikiwa bunduki kuwa lazima uangalie itv ...

Mimi nashauri uisuse kama ulivyoisusa ccm hakuna atakaye kulaumu ...
 
Naam hayuko perfect kafanya makosa mengi na kubwa kuliko yote ni kumkaribisha fisadi.

Lazima ujue kwamba Chadema pamoja na makosa menginya Mbowe kimekuwa ni chama imara sana na tishio kubwa kwa chama cha wahuni.

Mafanikio ya Mbowe ni kuongeza idadi ya Wabunge ea Chadema na Madiwani kila mwaka ukiondoa huu uchaguzi wa juzi uliogubikwa na mapanga marungu visu na bunduki ili kupora ushindi.

Chama cha wahuni kimeshindwa kabisa kupenyeza mapandikizi yao ndani ya Chadema pamoja na jitihada zao kubwa za kila Mwaka.

Ukiona MACCM yanataka kiongozi wa Chadema aondolewe kwenye uongozi basi ujue kiongozi huyo pamoja na mapungufu yake kafanikiwa sana. Hakuna hata siku moja wahuni wa CCM wamtakie mafanikio Kiongozi yeyote yule wa Chadema na ushahidi wa hilo ni Lissu yuko hospitali mwezi wa tatu na nusu sasa MACCM mangapi yameenda kumuona au hata kumpigia simu kumpa pole na kumuombea kwa Mwenyezi Mungu.

Tia akili kichwani kabla ya kukurupuka na kuandika upuuzi.

Kwanza nasikitika kuona mtu kama wewe mpaka leo unaimani na Mbowe...

Pili kwenye king'amuzi chako kuna siku umewahi kushikiwa bunduki kuwa lazima uangalie itv ...

Mimi nashauri uisuse kama ulivyoisusa ccm hakuna atakaye kulaumu ...
 
Back
Top Bottom