Kulikoni ITV na Chadema?

Kulikoni ITV na Chadema?

Haha! Bavicha Bwana wataanza kumponda mengi...wasijue kwamba Mengi anarusha habari kwa utashi wake wa kibiashara.

Hawezi kuhatarisha biashara zake kisa Chadema isiyojitambua.

Aliwabeba mkashindwa kubebeka kaamua kuwabwaga.... Nyakati zinabadilika acheni kulilia kama watoto....

Hata hivyo inabidi mmshukuru sana Mengi na ITV yake kwa jinsi alivyojitolea kuwabeba....
Biashara gani bila watazamaji? Hebu uwe unazishirikisha akili zako basi
 
Washapewa onyo kutangaza habari za wapinzani!!!
Kwa Sasa nchi hii kunawapinzani?, Mimi nichofahamu upinzani uliparaganyika kitambo, kuna magenge ya wahuni waliojificha kwenye kichaka cha siasa, na demokrasia, ni wakuogopwa kama ugonjwa wa ukoma grade one, hawafai hata kidogo, kosa walilofanya ni Kula matapishi yao, pesa position Mjomba

heko! Lowassa, Penye dhiki penyeza rupia, wamesambaa, Kila mmoja na lwake
 
Nimeangalia taarifa ya habari ya ITV saa 2 usiku hawajaipa nafasi kabisa habari ha Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliyekuwa na press conference Leo.
Angalau TBC wao wameitoa taarifa hiyo, wamejitahidi ku-balance.

Sasa ITV huu ni woga au kujipendekeza?

ITV wamesoma alama za nyakati na kujiweka mkao wa kujikinga dhidhi ya mashambulizi yanayoweza kuiuwa.

Ni sawa, kwa sababu kila mtu lazima ajikinge dhidhi ya hatari. Tunaoelewa tumesomanpia alama hizi na kukubalinkuwa katika kipindi hichi, media ziko chini ya ukanadmizzi mkubwa. Mimi binafsi nimecha kuangalia au kusikiiza habari za ITV au media yoyote ya TZ. Juzi tu nimeacha kuwafollow ITV Radio One baada ya hao kufikia hatua mpya na ya juu zaidi ya kutumika. Labda kuna siku tutarudi kuwaguatilia hawa so called local media, ila kwa sasa, wanisamehe sitaweza kabisa.
 
Nimeangalia taarifa ya habari ya ITV saa 2 usiku hawajaipa nafasi kabisa habari ha Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliyekuwa na press conference Leo.
Angalau TBC wao wameitoa taarifa hiyo, wamejitahidi ku-balance.

Sasa ITV huu ni woga au kujipendekeza?
Mkuu kumbe bado unapata shida???
Mimi nilisha achana nao,saivi ITV na TBC sioni tofauti,Kujipendekeza na kumuogopa mkulu
 
Baba yangu anahusikaje hapa nisaidie anaingiaje niliyetoa maoni ni mimi mkuu sio baba yangu
Anahusika mkuu, sababu amezaa popoma. Unawezaje kumuita Mzee anayeheshimika kama Mengi kuwa kanunuliwa? Hivi unajua Mengi ana uchungu na mpwawe Mbowe kuliko hata wewe?
 
Kwa Sasa nchi hii kunawapinzani?, Mimi nichofahamu upinzani uliparaganyika kitambo, kuna magenge ya wahuni waliojificha kwenye kichaka cha siasa, na demokrasia, ni wakuogopwa kama ugonjwa wa ukoma grade one, hawafai hata kidogo, kosa walilofanya ni Kula matapishi yao, pesa position Mjomba

heko! Lowassa, Penye dhiki penyeza rupia, wamesambaa, Kila mmoja na lwake
Magenge ya wahuni huwa yanashtakiwa na hatimaye kufungwa sssa kama bado yako upuuzi ni wenu
 
Anahusika mkuu, sababu amezaa popoma. Unawezaje kumuita Mzee anayeheshimika kama Mengi kuwa kanunuliwa? Hivi unajua Mengi ana uchungu na mpwawe Mbowe kuliko hata wewe?
Unagongwa na mengi wewe
 
Utashi wa kumuonyesha jambazi mfojaji wa vyeti lakini si Kamanda Mbowe. Wajue Watanzania si wapumbavu waendelee na utashi wao ila wajue pia Watanzania tuna utashi wa kuangalia TV tuitakayo kutokana na utashi wetu kuhusu mustakabali wa nchi yetu halafu tuone aliyeshika mpini na makali ya kisu ni yupi atakayeumia.

Haha! Bavicha Bwana wataanza kumponda mengi...wasijue kwamba Mengi anarusha habari kwa utashi wake wa kibiashara.

Hawezi kuhatarisha biashara zake kisa Chadema isiyojitambua.

Aliwabeba mkashindwa kubebeka kaamua kuwabwaga.... Nyakati zinabadilika acheni kulilia kama watoto....

Hata hivyo inabidi mmshukuru sana Mengi na ITV yake kwa jinsi alivyojitolea kuwabeba....
 
Nimeangalia taarifa ya habari ya ITV saa 2 usiku hawajaipa nafasi kabisa habari ha Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliyekuwa na press conference Leo.
Angalau TBC wao wameitoa taarifa hiyo, wamejitahidi ku-balance.

Sasa ITV huu ni woga au kujipendekeza?
ITV itapotea muda si mwingi wanaendekeza siasa
 
Back
Top Bottom