Kulikoni ITV na Chadema?

Kulikoni ITV na Chadema?

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,743
Reaction score
2,601
Nimeangalia taarifa ya habari ya ITV saa 2 usiku hawajaipa nafasi kabisa habari ha Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliyekuwa na press conference Leo.
Angalau TBC wao wameitoa taarifa hiyo, wamejitahidi ku-balance.

Sasa ITV huu ni woga au kujipendekeza?
 
Muhongo alivyosema Mengi ni dalali Mie nilidhani ni uongo
 
Nimeangalia taarifa ya habari ya ITV saa 2 usiku hawajaipa nafasi kabisa habari ha Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliyekuwa na press conference Leo.
Angalau TBC wao wameitoa taarifa hiyo, wamejitahidi ku-balance.

Sasa ITV huu ni woga au kujipendekeza?
TV mfu,
 
Haha! Bavicha Bwana wataanza kumponda mengi...wasijue kwamba Mengi anarusha habari kwa utashi wake wa kibiashara.

Hawezi kuhatarisha biashara zake kisa Chadema isiyojitambua.

Aliwabeba mkashindwa kubebeka kaamua kuwabwaga.... Nyakati zinabadilika acheni kulilia kama watoto....

Hata hivyo inabidi mmshukuru sana Mengi na ITV yake kwa jinsi alivyojitolea kuwabeba....
 
Yaani roho inaniuma mno!! ITV ndiyo imekuwa hovyo namna hii? Na nilivyokuwa naipigia debe!! Basi tu!
 
Siku hizi bora tbc startv kuliko itv. Imepoteza mvuto. Startv huwa wanabalance hasa vipindi vya tuongee asubuhi.
 
Itv siku hizi nawakumbuka kwa mizengwe tu jpili
 
Kanunuliwa na ccm hana jipya kawekwa kapuni yeye atangaze festura hana jipya
 
Nimeangalia taarifa ya habari ya ITV saa 2 usiku hawajaipa nafasi kabisa habari ha Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliyekuwa na press conference Leo.
Angalau TBC wao wameitoa taarifa hiyo, wamejitahidi ku-balance.

Sasa ITV huu ni woga au kujipendekeza?
Wanajitambua hao, jipangeni, mnapotea kwenye medani ya siasa nchini mdogomdogo
 
Nimeangalia taarifa ya habari ya ITV saa 2 usiku hawajaipa nafasi kabisa habari ha Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliyekuwa na press conference Leo.
Angalau TBC wao wameitoa taarifa hiyo, wamejitahidi ku-balance.

Sasa ITV huu ni woga au kujipendekeza?
Mzee akinyang'anywa vitalu vyake vya Tanzanite utamsomeshewa wale mapacha wake?
 
Anyway, kumlaumu Mengi ni kumuonea kwa kweli , kwa jinsi utawala huu wa awamu ya tano unavyoendesha nchi na jinsi Watanzania tulivyo ni ngumu kwa mtu mmoja kama mengi kuhatarisha maisha na biashara zake kwa watu wasiojitambua.
Watanzania tuko balidi mno,tunataka watu wengine wajitoe kwa ajili yetu huku sisi tukibaki nyuma ya keyboards au majumbani kwetu tukivuna tusicho panda.
Labda tungekuwa kama kenya ambapo tumeshuhudia viongozi wa upinzani wakipata support ya kila maamuzi yao. Ni mpaka hapo tutakapoacha ubinafsi na unafiki otherwise hii ya kutegemea mwingine aumie kwa ajili yako haitatufikisha popote kama wapinzani.
 
Back
Top Bottom