Kulikoni huyu kakamatwa haraka hivi na wenzake hata hawaguswi na wanafahamika ?

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,882
EMMANUEL MWENERA in ARUSHA
Daily News; Wednesday,June 18, 2008 @18:03

Police in Arusha region are holding a woman for allegedly providing fake
birth and academic certificates to 13 youth who applied for the recently
advertised employment opportunities in the police.

Speaking to journalists today, Arusha Regional Police Commander, Mr
Basilio Matei, said the suspect, Elizabeth Mcharu (39), was arrested after
the recruited youth named her as the person who allegedly prepared their
certificates.

He named the youth as Onesmo Fredrick (21), Seleman Jirion (20), Tadeus
Keto (25), Charles Komba (22), Isack Mgeni(20), Mustafa Abdul, alias Munga
(20), Dominick Emmanuel (20), Moses Siame (20), Deogratius Silvanus (20),
Baraka Simon (21) and Hamis Hasan (22).

Mr Matei said 11 suspects were in police custody, while two others managed
to escape and police were hunting for them. The RPC said one of the forged
certificates carried an invalid serial number S.0428/58 and Certificate
Number 148933 dated March 28, 1991 showing the candidate received his
secondary education from Mpechi Secondary School while it was not true.

The woman declared that she was innocent as some people had misused her
shop irresponsibly to prepare the fake papers. Police are still
interrogating her. Meanwhile, one of the passengers who were injured in an
accident that occurred along the Arusha-Moshi highway last week near
Nduruma River has died. The RPC named the deceased as Joseph Msuya (54).
 

jmushi1

JF-Expert Member
Nov 2, 2007
24,082
20,697
Lunyungu hawa ni mafisadi ama?
Maana naona ni kweli nchi imeuzwa halafu...
 

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,882
Jmushi mimi kama wewe najiuliza tu kitu gani hiki kinatokea katika Nchi yangu ?
 

Jobo

JF-Expert Member
May 15, 2008
587
42
Cheti chA KUZALIWA KINAANDIKWA SHULE YA SEKONDARI ALIYOSOMA!!!!! Hapa kuna harufu isiyoeleweka na mwandishi lazima ameparamia stori bila kuijua vizuri maana haiingii akilini. Kama watuhumiwa wote are in their early 20s, how comes cheti cha waka 1991 kionyeshe shule y sekondari? Huyo alikuwa sekondari akiwa na miaka mitatu!
 

jmushi1

JF-Expert Member
Nov 2, 2007
24,082
20,697
True Man thats for sure...Na hata mimi nilipata shida kuelewa hapo.
 

Mzozo wa Mizozo

JF-Expert Member
May 26, 2008
426
9
huwa najiambia kitu kimoja unahitaji kuwa na kumbukumbu nzuri ili kuwa mtu muongo mahiri!

hili suala tata sana ila ni jambo ambalo linatokea kila siku. ni kawaida yetu, nchi imeoza na sisi tumeamua kuoza nayo.

hao wangekuwa a pesa ya kutosha wangechukulia vyeti zao pale Bamaga - Baraza la Mitihani.
 

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,882
Swali langu ni juu ya uharaka wa polisi kukamata wakati kuna matukio kama haya haya bado hata watu hawaguswa na ukweli uko wazi .
 

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,630
8,449
Swali langu ni juu ya uharaka wa polisi kukamata wakati kuna matukio kama haya haya bado hata watu hawaguswa na ukweli uko wazi .

Ulitaka aundiwe tume???? au kamati ya bunge ijadili???? No!! HIlo liko within, its peanut hata kwa panya bana!! It was a right move to avoid kila mhalifu kusubiri tume and lawyers
 

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,882
Ni wapi pale ambapo Katiba inatimizwa kwa sisi wote kuwa sawa mbele ya sheria ambako wote tutakuwa within na si kuundiwa tume ama watu kukaa kimya as if nothing happens ?
 

Haika

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,338
539
wamekamatwa kesi ifunguliwe mara moja wahukumiwe watu waendelee na kazi nyingine
 

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,882
wamekamatwa kesi ifunguliwe mara moja wahukumiwe watu waendelee na kazi nyingine

Haika unasema wamekamatwa kama statement ama umekosea kusema ulitaka kusema wangalikamatwa na kesi iendelee ? Niweke sawa tafadhali .
 

Gaijin

JF-Expert Member
Aug 21, 2007
11,815
5,231
wamekamatwa haraka kwa kuwa watuhumiwa waliomba kazi polisi.
yaani unapeleka uongo polisi! hahah ....kweli kila kitu kinawezekana tanzania.
kama kuna wenye kughushi vyeti bungeni, bunge ndio lilitakiwa kuchukuwa hatua na kupeleka majina ya waliohusika polisi.
 

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,882
bado wakubwa mmeniacha mbali kabisa .Kweli mjadala unanipita .Wamekamatwa akina nani ? Huyu Mama na vyeti ama akina nani hao ?Maana kama wale walalamikiwa wakubwa na viongozi wa Taifa tukufu waheshimiwa mawaziri sijasikia kwamba wamekosa Bungeni kwa kutakiwa polisi sasa wamekamatwa wapi ?
 

Gaijin

JF-Expert Member
Aug 21, 2007
11,815
5,231
sasa lunyungu katika kesi hii ulitaka akamatwe nani? kama si huyo mghushi vyeti na waliokubali kwa kujua vyeti vya kughushi?
 

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,882
Uchunguzi wa polisi na ushahidi mwingi akiwemo Msolla mwenyewe anasema Mathayo na kundi lake vyeti wamegushi , polisi wanasema wamesha mpa taarifa mhusika ambaye naamini ni Rais na Msolla alisha mpa taarifa ushahidi uko hapa hapa ubaoni maana kuna thread.Kosa ni kugushi huyu kakamatwa na wao wengine je ambao pamoja na kuwa na criminal record bado wanakula pesa zetu inakuwaje ?
 

Masatu

JF-Expert Member
Jan 29, 2007
3,279
112
Uchunguzi wa polisi na ushahidi mwingi akiwemo Msolla mwenyewe anasema Mathayo na kundi lake vyeti wamegushi , polisi wanasema wamesha mpa taarifa mhusika ambaye naamini ni Rais na Msolla alisha mpa taarifa ushahidi uko hapa hapa ubaoni maana kuna thread.Kosa ni kugushi huyu kakamatwa na wao wengine je ambao pamoja na kuwa na criminal record bado wanakula pesa zetu inakuwaje ?


Hey haya makubwa mkuu Dr Mathayo kumbe famba?
 

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,882
Hey haya makubwa mkuu Dr Mathayo kumbe famba?

Mkubwa kuna thread hapa ina habari zote hizi in details .Hebu itafute ama kama kuna mtu anaweza kutuwekea hapa ile thready ya walio gushi vyeti afanya msaada tuipitie tena .
 

Gaijin

JF-Expert Member
Aug 21, 2007
11,815
5,231
vidagaa lazima wakamatwe haraka....papa na nyangumi wanaendelea kutesa baharini. au hujui hivyo?
 

Alnadaby

JF-Expert Member
Sep 28, 2006
505
38
Kila mhalifu inabidi afikishwe mbele ya mahakama bila ubaguzi,baada ya kuwa na ushahidi wa kutosha kufanya hivyo.Kama kuna mtu ana ushahidi wa kutosha kuhusu Mathayo,yeye mwenyewe bila kungoja alipeke suala hilo polisi.
 

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,882
Naomba ile thread jamani iletwe pale kuna mambo mengi ya wazi .
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom