Kulikoni huyu jamaa na taka ngumu za binadamu?!. . .

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,712
Ni mara ya tatu nimemkuta akicheza drafti halafu kila mara anatoa kiberiti halafu ananusa kisha anavuta hisia na kuonekana kufurahia hali ile.Ikabidi nimuulize,akaniambia "huwa nasikia raha sana nikisikia harufu ya taka ngumu za binadamu"(tafsida ni yangu) baada ya kusema hayo akaondoka huku akiniacha na maswali mengi.Hivi ni mzima huyu au ana ukichaa?Iweje atembee na hiyo kitu?Au ni aina ya ugonjwa mpya?
 
Kuna jamaa niliwahi kumsikia akitoa ushuhuda Agape TV kuwa zamani kabla ya wokovu alikuwa ameoa shoga na kila alipokuwa anasafiri alikuwa kisafiri na hizo taka ngumu za binadamu na kuzinusa kila anapomkumbuka mkewe. Haya ni mambo machafu zaidi ya mahusiano kuwahi kuyasikia.
Nalazimika kuamini kuwa hata huyo ndg unayemzungumzia inawezekana kuwa na yeye ni mmoja wa washiriki wa huduma za namna hiyo.
Nafikiri tunahitaji kumuomba Mungu aepushe kizazi hiki na matukia machafu ya namna hii.
 
Sio mzima huyo atakuwa anamatatizo ya akili kuna aina nyingi ya uvichaa mojawapo ndio hiyo.... mpelekeni hospitali huyo akapatiwe usauri nasaha mkimchelewesha atapotea...
 
Samahani mkuu labda nitaweza kuchangia kama utanifafanulia asili ya huyo jamaa,kwani huyo jamaa ni Mpemba..??
 
Back
Top Bottom