Malia anaogopa kumsumbua baba yake wakati anahudumia taifa kubwa. Pia hii inaonyesha rais wa Marekani alivyo family man ambaye hapotezi muda kwenye kuzurura kiasi cha watoto wake kumsahau na kujifanyia watakavyo kama jamaa yangu Njaa Kaya Chikwekwe.
Toa fasiri yako!
nice...
Photoshop!
Sasha wale am rais wenye mitoto mingi ikulu inakuwaje..is watakuwa wanakaa mpaka mezani
Hapo kwenye red pokea Like fasta.:A S thumbs_up:Malia anaogopa kumsumbua baba yake wakati anahudumia taifa kubwa. Pia hii inaonyesha rais wa Marekani alivyo family man ambaye hapotezi muda kwenye kuzurura kiasi cha watoto wake kumsahau na kujifanyia watakavyo kama jamaa yangu Njaa Kaya Chikwekwe.
Mtoto ana mg...u!!!!