sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,293
Nimekuwa nikisoma hili gazeti linaloitwa Sauti Huru ..gazeti la jana, nliyoyaona humo mpaka nikatamani nicheke kwa sauti kubwa!!! Hivi hili gazeti ndo kawaida yake kuandika hivi au..!??(maana sijawahi liona hapo kabla) Habari zoooote ni za kiuchochezi dhidi ya Chadema....mara wamemtukana JK, mara bendera yao ya kumwaga damu, mara wanachochea vurugu, mara wabunge viti maalum wa chadema utata, mara Chadema wameandaa magazeti ya kutangaza ushindi feki, pia wakaona hiyo haitoshi wakamuingiza na mzee mwanakijiji humo humo kwa kummwagia kashfa za kila aina...yaan mpaka nikajiuliza hivi ingekuwa ndo yameandikwa haya kuelekezwa kwa ccm lingechukua Round hili gazeti kweli!!?? Yaan gazeti zima limejaa habari za kashfa tuuuuu mpaka linaboa!!
aaarghhh...πuke:!!!!
hahahaaa, kumbe ni sauti huru? Hilo gazeti nalifahamu vizuri na waandishi wake pia. Ni kagazeti kanakofadhiliwa na edward lowassa na somebody patel.
kama ulikuwa hujui, hata habari za kuandika huwa wanapewa na hao "waume zao". Waliwahi kuonekana wanatoka ofisini kwa lowassa usiku.
mhariri wake bw.bollen ngetti haijulikani taaluma ya uandishi ameitoa wapi maana alifeli kidato cha nne. Nina mengi nayoyajua kuhusu hao sato wa sauti ya mafisadi wanaojiita sauti huru. Usishangae kaka, wanawatumikia waume zao. Ila usihofu maana , dr.slaa atakapoingia madarakani atayafuta yote.
Mkuu tujuze mengine unayoyajua ya sauti huru!! π πhahahaaa, kumbe ni sauti huru? Hilo gazeti nalifahamu vizuri na waandishi wake pia. Ni kagazeti kanakofadhiliwa na edward lowassa na somebody patel.