Kulikoni Benard Membe?

Membe ana fedha nyingi haitaji msaada wa mtu.
Hata kama angekwama ana kaka mkubwa.
Labda anasumbuliwa na mambo mengine.
 
Ukijua ulipora busara hua ni kukaa kimya,jinai haifi

Sent using Jamii Forums mobile app
mimi sikatai kama kweli mtu ameiba si kuka kwake kimya ndio iwe siraha. Wangapi wako
kwa ujumla simtetei yoyote ila nachopendekeza sheria ifuate mkondo wake. Badala ya kuwatafuta watu kwa kesi za kubambikizia wakat tunajua madudu tuwatafute lwa zile ppast zao la sivyo ni uonevu tu
 
Wewe ni mkewe?
 
Hahah daah jamaa hua hajui kujieleza kabisaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuki kwa nguruwe,sasa umemgeukia anatukutia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikatai,ila ni mpaka 2025,hutaki unaacha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usemayo ni kweli. Nimemuangalia juzi juzi mzee Wasira (a.k.a Tyson) kwenye kongamano la amani pale Mwalimu Nyerere hata sikuamini kama ni yeye.
 
Membe 2025 mtarajiwa..... kada wa chama na mawanademokrasia mbobezi..utakuta nchi ipo kwenye mstari mzuri wa maadili kazi kwako ukijaliwa kuiendeleza...kutulia kwako watu hawajakusoma vizuri.. Tunakauobea afya njema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mku usicheze na kukosa pesa kama ulikua umeizoea, hilo ni jambo jingine. Lisikie kwa jirani usitake kuwa moja wa mashaidi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…