Punguza viroba mkuu, thread zako nyingi ni za ki.ji.nga j.inga... Hapa sio facebook au whatsapp...... Hili ni jukwaa la great thinkers atiii.. Sawa bwashee!!
raphael magata usihuzunike kwakuwa kila kitu kina kinyume chake na kwenye msafara wa mamba kenge pia wamo!Nani anaharibu "burudiko" tena?Tupo tofauti ila nikikutana na kejeli sizipendiiii!Mkuu Mauzauza vipi tena?
Punguza viroba mkuu, thread zako nyingi ni za ki.ji.nga j.inga... Hapa sio facebook au whatsapp...... Hili ni jukwaa la great thinkers atiii.. Sawa bwashee!!
Punguza viroba mkuu, thread zako nyingi ni za ki.ji.nga j.inga... Hapa sio facebook au whatsapp...... Hili ni jukwaa la great thinkers atiii.. Sawa bwashee!!
Mkuu mapichaz mbere kwa mbere, mpaka rierewe!!Mpotezee huyo utafiti sisi tuendelee kuchill
Punguza viroba mkuu, thread zako nyingi ni za ki.ji.nga j.inga... Hapa sio facebook au whatsapp...... Hili ni jukwaa la great thinkers atiii.. Sawa bwashee!!
​Nisamehe buree mkuu sikuona ni jukwaa gani halafu natumia simu ya tochi ndo maana.....sorry man!!!Sasa kwani huku umeitwa? Umbea mwingine bwana! Great thinker ni matendo sio maneno kaa ukifahamu, ujinga kwako kwa mwenzako elimu, ungekuwa great thinker usingepayuka~~ take your time n learn how to become a great thinker!!
Si umeficha funguo za gari na nguo zote umeloweka, naondoka sasa aibu yetu wote nyambaff.