Kulia zaidi au kushoto. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kulia zaidi au kushoto.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by LUMBA, Apr 20, 2012.

 1. L

  LUMBA Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nimejalibu kutafakali kiundani ila sijapata jibu aidha la kimaumbile au la kisayansi kwa nini viungo ambavyo viko pair ktk miili yetu haviko sawa ktk uwezo,kwa mfano wa mkono wakulia hauwezi kufanya kazi sawa na wa kushoto na hata mtu akiwa anatumia kushoto basi kulia utakuwa dhaifu ukilinganisha na wa kushoto,hata macho ukimwambia mtu achungulie maybe kwenye dalubini basi huwa anaprefer zaidi jicho fulani na akitumia lingine basi anaona hayuko sawa,hata kwenye nchezo golikipa kuna upande kwake unakuwa rahisi,dereva kadhalika kwenye kukata kona,karibu maeneo yote yanayohusisha pande pili sijawahi kuona kuwa na uwezo sawa.Naomba mnisaidie kama kuna sababu za kisayansi,kimazingira au zingine tu hii inatokana na nini?
   
 2. T

  Twaa Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu nakuomba uedit ujumbe wako katika maneno kulia andika kuume na sio kama ulivyoandika kulia, kumbuka kulia ina maana ya cry kwa kiingereza!
   
Loading...