Big Man Kontawa
Member
- Aug 28, 2021
- 36
- 108
Kwa wiki tatu mfululizo mwezi huu nilikua nafuatilia cheti cha kuzaliwa cha binti yangu hospital moja kubwa tu ya serikali huku nilipo.
Jengo wanalotoa hvi vyeti hapa hospitali ndilo hilohilo kliniki ya ndugu zetu wanaoishi na virusi vya ukimwi( nimethibitisha leo mwanzo nilikua nahisi tu).
Wiki ile ya mwanzo nilipofika pale nilikuta kundi la mabinti kam kumi au zaidi, kwa kukadilia pale hakuna aliyekua anafika miaka kumi na nane, wengne walikua na sare za shule kabisa. Sikuelewa dhumuni la wao kuwa pale niliingia ofisi husika mara nikatoka na kuondoka baada ya kupigwa kalenda mpak ijumaa itakayofuata niende tena.
Ijumaa nyngne ilipofika nikaenda kama kawaida nikaambiwa nirudi mchana wa saa nane. Nikaendelea na mizunguko mingne mpaka muda ulipofika nikaenda. Nikakuta tena kundi la mabinti wadogo kabisa, wengi n wale wanaovaa viatu vina manyoya wengne wamebeba vile vibegi vyao vidogo vidogo, ni watoto wale. Sasa nilipoingia mle ofisini jamaa akanambia nikae nisubiri, nikiwa nimekaa macho yakibarizi ile ofisi nikakutana na mkabata umejaa ARV yani tangu juu mpaka chini mwanzo wa ukuta mpak mwisho n hzo dawa tu. Hapa nikaanza kupata mashaka kidogo. Wakati huo mara kadhaa nilikua nasikia msamiati wa "mteja huyu hvi mara vile". Bahati mbaya siku ile sikufanikiwa kupata cheti nikapigwa kalenda ya kurudi leo.
Sasa leo nikiwa nimeongozana na wife kwaajili ya maswala ya afya ya uzazi, tukaingia lile jengo kama kawaida tukakuta wadada kadhaa wanahudumiwa mmoja mmoja na wote wakiitwa wateja. Nashukuru leo nikapata cheti. Tukiwa tunatoka tukapishana tena na kundi la vibinti dizaini ileile vinaingia pale.
Mimi nikiwa sasa nahisi tu hawa wanaoingia humu ambao n wateja itakua n wateja wa zile dawa pale ndani lakin kwann vibinti vidogo hvi na wawe wengi nikawa njia panda.
Tukiwa kwa muhudumu ambae anahusika na hayo mambo ya afya ya uzazi, ni mama mtu mzima, akawa anatushauri kuwa makini na afya zetu. Mara akanigeukia mim, "mwanangu nyie wanaume mnadanganyika kirahisi sana unaona vile vitoto pale" akionesha kupitia dirishani kule kwenye lile jengo tukiwa tunawaona wale mabinti "wale wanafuata dozi n wagonjwa, ukiwaona kwa umri wao huwez kuwajua."
Pale nikawa speechless, baadae tukiwa njiani nikamwambia wife aiseeee kuanzia sas ntakua muaminifu zaidi ya mara yoyote niliyowahi kuwa,mizigo ya nje moto.
Kwa namna mapambano dhidi ya maambukizi mapya yalivyopuuzwa kwa sasa,( huelimishaji na uhamasishaji kuanzia kwenye medias, matamasha na maandiko mbalimbali. Usambazaji wa condoms bure, kupanda kwa bei ya kondomu madukani na Wakati mwngne kuhadimika kabisa) tutakua na vijana wengi wagonjwa baada ya miaka kumi mbele.
Yale makundi matatu tofauti niliyoyaona kwa hzi ijumaa tatu tu wale ukikutana nao swala la kumfikiria kama n mgonjwa huwez kuwa nalo kwa umri wao. Kama wakiamua kuusambaza wanao uwezo wa kuusambaza kwa kiasi kikubwa sana.
Rai yangu hasa wanaume wenzangu tuwe makini sana hasa na hvi vibinti vidogo, tusiwaamini tu kwa macho. Lakini kwa vyombo husika zile juhudi za kupambana na maambuzi mapya hebu zirudi upya, vijana na mabinti wadogo wanapotea.