Kulea nikazi sana: Kitu ambacho wazazi hawawezi kusema

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,102
53,357
ImageUploadedByJamiiForums1438178468.232285.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1438178485.814620.jpg
 
Unaachaje kusema?yani mie ningemchapa huyo wa kwenye friji mpaka akome.Na hao wachoraji tabia gani kumchora mtu hivyo?Hao wote wanahitaji fimbo
 
Hao sio wa kuchapa mamito. Unatumia mbinu za malezi bora hadi aelewe kuwa alichofanya sio sawa!
 
Wa kwangu yeye aliifungua fridge akakojolea humo.

Badala ya kuchukia nikabaki namshangaa.kumbe fridge zinafanana na poti eti!!!????
 
Doooh!!! waonekana mama mkali sana wewe eenh...

Watoto wadogo kama hao wapo katika hatua ya kujifunza hivyo namna ya kuwahandle ni kuwaelekeza kufanya mambo kwa usahihi...

Unaachaje kusema?yani mie ningemchapa huyo wa kwenye friji mpaka akome.Na hao wachoraji tabia gani kumchora mtu hivyo?Hao wote wanahitaji fimbo
 
Doooh!!! waonekana mama mkali sana wewe eenh...

Watoto wadogo kama hao wapo katika hatua ya kujifunza hivyo namna ya kuwahandle ni kuwaelekeza kufanya mambo kwa usahihi...

Hahahaha najua huwa hupendi watu kuchapwa.But mie nawashapa tu.....:D
 
Back
Top Bottom