Kulea Mtoto

miezi 6 ya mwanzo mtoto anatakiwa anywe maziwa ya mama tu..
baada ya miezi sita mtoto anweza kuanza kula "solid food" lakini bado aendelee
na beast feedind mpaka mtoto afikishe mwaka na zaidi
jinsi
mama anavyotakiwa kumbeba mtoto wakati wa kumnyonyesha..
Breast-feeding-series.jpg
picha ya kwanza mpaka ya tatu utaona mama amemshika kichwa mtoto..

mpaka hapo mtoto atakapo kuwa kwenye comfortable position ndo mama ahamishe mkono kwenye mgongo wa mtoto..

daily care..
USIMTINGISHE (SHAKE) mtoto wako no matter what , shingo ya mtoto bado haijakomaa kabisa
kwa hiyo ni mwiko to shake a baby , remember baby is fragile.

baby poo..
mtoto anaekunywa maziwa ya mama ata poo at least once a day mpaka atakapo fikisha
wiki nne. baada ya wiki nne mtoto anaweza ku poo kila baada ya mlo . ni kawaida sana kwa mwana
kubadilisha pattern . mavi ya mwana yana rangi tofauti kwa kawaida utaona rangi hizi tatu
yellow, green au brown ( Green poos are common in a well baby) hata na hivyo kama una wasiwasi ni vema
kuwasiliana na doctor wenu..

kumuogosha mtoto

kwa mtoto mchanga kabisa hakuna haja ya kumuogosha kila siku.. waweza kumuogosha leo kesho
ukamsafisha vizuri tu .. sehemu zote muhimu uso, mikono, bottom, etc...

kama mtoto wako analia sana wakati wa kuogeshwa jaribu hizi njia..
1. usimuogeshe wakati anahisi njaa.
2.Muogeshe kidogo kidogo kuliko kumtumbukiza mwili wote majini.
3.mfune taulo kuanzia kifuani chini muweke taratibu kwenye besinii huku unaondoa taulo
taratibu ( beseni yenye maji ya uvugu vugu)
4. Hakikisha unataulo ndogo juu ya tumbo la mtoto akiwa ndani ya beseni.
5. mdondoshee maji kidogo kidogo juu ya mwili .. usimzamishe mwili wote..
6. USIZAMISHE KICHWA CHA MTOTO MAJINI.. BIG NO...

Dahhhh ninamengi sana kusema kuhusu mtoto mchanga itabidi uniulize maswali unataka kujua nini haswa..
maana ni topic isiyo na mwisho ..

Mpaka umenipa hamu ya kutafuta mtoto.....nice comments
 
Uzuri wangu, wakati watu wanaongea in private
I keep my mouth SHUT!
 
Asanteni sana wakuu kwa maoni, ushauri na uzoefu wenu ktk malezi na maisha ya mama na mtoto. Kama kuna mengi naomba nipeni tuu
 
ni rahisi zaidi ukisema ya kwamba
unahitiji maelezo katika lipi... asante..
Maana maelezo ya mtoto yapo elfu kidogo..
 
nimeomba mnisaidie nileeje mtoto maana sina uzoefu kwasababu huyo mtoto ni wa kwanza

Mleeni mtoto wenu kwenye mzingira masafi, jitahidini apate basic needs zote. Kuhusu sex kama mkeo alijifungua salama after 40 days mnaweza kusex, operesheni inabidi kumvumilia mwenzako kdg. Wewe km baba inabidi kushiriki kwenye malezi ya mwanao, usimwachie tu mkeo ni kipindi cha kuwa karibu kama wazazi
 
Dah! Nahitaji email yako Afrodenzi

Back
Top Bottom