Kulea Mtoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kulea Mtoto

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Malova, Jan 5, 2012.

 1. M

  Malova JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Nina mke ambaye amejifungua kichanga kama mwezi uliopita. Naomba ushauri wenu hasa wale walio na uzoefu tufanyeje (mimi na mke wangu(hasa ktk mapenzi) ) ili tuweze kumlea mtoto wetu vizuri?
   
 2. M

  Malova JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  nifanyeje jamani?
   
 3. h

  hayaka JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kwani siku zote mlikuwa mkifanyaje? Tofauti ni ipi?
   
 4. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Unataka tukushauri utafute kimada au? hatujakusoma
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  uzazi wa mpango muhmu
   
 6. M

  Malova JF-Expert Member

  #6
  Jan 5, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  nimeomba mnisaidie nileeje mtoto maana sina uzoefu kwasababu huyo mtoto ni wa kwanza
   
 7. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #7
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  mama ahakikishe anaoga vizuri kabla ya kunyonyesha baada ya kudochana. uzazi wa mpango muhimu. mtoto anyonye maziwa ya mama na kuhudhuria klinic kwa ajili ya chanjo.
   
 8. sister

  sister JF-Expert Member

  #8
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,027
  Likes Received: 3,933
  Trophy Points: 280
  kwan hamna wazazi? mara nyingi naonaga either mama wa mume au mke anakuja hme ili kumwelekeza binti mambo kadhaa kuhusu huyo mtoto na hata jinsi ya kumwogesha na kadhalika au shangazi wa mkeo anaweza kuja hme ili amwelekeze.
   
 9. A

  AZIMIO Senior Member

  #9
  Jan 5, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hapo kwenye red naomba msaada zaidi una maanisha nini kitatokea au yapi madhara yake baada ya kudochana bila ya kuoga vizuri?
   
 10. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #10
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Kwa vile hamna washauri kama dada, mama, shangazi, mi nakushauri MZIBUENI MASIKIO.
   
 11. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #11
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Mkuu ningeomba ueleza kwa kina kidogo unataka kufahamu nini haswa?
  maana kuna mengi sana kuhusu wachanga... kama ukipenda uliza swali moja
  baada ya lingine .. asante sana
   
 12. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #12
  Jan 5, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,725
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  zingatia haya mdogo wangu
  1.usile ngwanju kabala ya siku arobaini hazijafika, hii kama amejifungua salama na hakuchanika msamba vibaya sana kama alichanika sana fanya baada ya siku 60. kama ni operation madaktari wanashuri baada ya miezi 6,ila kama mshono haujasumbua unaweza kuanza mdogo mdogo miezi3 to 3na nusu au minne
  2.usimshike mtoto bila kunawa mikono hasa unapotoka kwenye mizunguko.
  3. Msaidie mama malezi sio umwachie kila kitu,siku moja moja na wewe unambadilisha nepi mtoto
  4. usiendekeze sana kutumia pampers sio nzuri kiafya kwa mtoto
  5.msimwache mtoto akae na nguo za mikojo kwa muda mrefu sana hasa wa kike, utamsababishia U.T.I mara kwa mara
  6. Nguo za mtoto ziwe na begi lake na zisichanganywe na za wakubwa
  7.usibadilishe nguo au kubanjuka mbele ya mtoto hata kama ni mdogo sana.
  8. mmalizapo kula ngwanju mama asimnyonyeshe mtoto bila kuoga.muoge kwanza ndio mumshike mtoto. mengine wataongezea wenzangu.......
  all the best.
   
 13. Mangimeli

  Mangimeli JF-Expert Member

  #13
  Jan 5, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  mtafutie house boy
   
 14. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #14
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  miezi 6 ya mwanzo mtoto anatakiwa anywe maziwa ya mama tu..
  baada ya miezi sita mtoto anweza kuanza kula "solid food" lakini bado aendelee
  na beast feedind mpaka mtoto afikishe mwaka na zaidi
  jinsi
  mama anavyotakiwa kumbeba mtoto wakati wa kumnyonyesha..
  [​IMG] picha ya kwanza mpaka ya tatu utaona mama amemshika kichwa mtoto..

  mpaka hapo mtoto atakapo kuwa kwenye comfortable position ndo mama ahamishe mkono kwenye mgongo wa mtoto..


  daily care..
  USIMTINGISHE (SHAKE) mtoto wako no matter what , shingo ya mtoto bado haijakomaa kabisa
  kwa hiyo ni mwiko to shake a baby , remember baby is fragile.

  baby poo..
  mtoto anaekunywa maziwa ya mama ata poo at least once a day mpaka atakapo fikisha
  wiki nne. baada ya wiki nne mtoto anaweza ku poo kila baada ya mlo . ni kawaida sana kwa mwana
  kubadilisha pattern . mavi ya mwana yana rangi tofauti kwa kawaida utaona rangi hizi tatu
  yellow, green au brown ( Green poos are common in a well baby) hata na hivyo kama una wasiwasi ni vema
  kuwasiliana na doctor wenu..

  kumuogosha mtoto

  kwa mtoto mchanga kabisa hakuna haja ya kumuogosha kila siku.. waweza kumuogosha leo kesho
  ukamsafisha vizuri tu .. sehemu zote muhimu uso, mikono, bottom, etc...

  kama mtoto wako analia sana wakati wa kuogeshwa jaribu hizi njia..
  1. usimuogeshe wakati anahisi njaa.
  2.Muogeshe kidogo kidogo kuliko kumtumbukiza mwili wote majini.
  3.mfune taulo kuanzia kifuani chini muweke taratibu kwenye besinii huku unaondoa taulo
  taratibu ( beseni yenye maji ya uvugu vugu)
  4. Hakikisha unataulo ndogo juu ya tumbo la mtoto akiwa ndani ya beseni.
  5. mdondoshee maji kidogo kidogo juu ya mwili .. usimzamishe mwili wote..
  6. USIZAMISHE KICHWA CHA MTOTO MAJINI.. BIG NO...

  Dahhhh ninamengi sana kusema kuhusu mtoto mchanga itabidi uniulize maswali unataka kujua nini haswa..
  maana ni topic isiyo na mwisho ..
   
 15. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #15
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Asante Afrodenzi...
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Jan 5, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hususan unazungumzia nini? Kufanya mapenzi au kumpenda mwanenu mpya?
   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  Jan 5, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wow. . . Karibu ntakubali kukuandikia recomendation letter kwaajili ya maombi yako ya kujiunga na chama cha Wakina Mama Wanaoweza Kulea (WMWK). . .
   
 18. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #18
  Jan 5, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  @afrodenzi, maelezo mazuri.
   
 19. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #19
  Jan 5, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Dogo kwani hukupata mafunzo ya kiume? Mwanaume? ukishapata mtoto ratiba yako ibadilike sana jali mtoto na mamake, achana na marafiki na vimada .weka angalizo nyumbani. mtoto anahitaji sana malezo yako baba na mamae.
   
 20. Chibidu

  Chibidu JF-Expert Member

  #20
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 387
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  pamoja na maelezo yote uliyopewa hapo juu, usijaribu kumbemenda mtoto. Subiri mtoto akuwe. Kwani aliyekwambia hiyo mbunye ya mkeo itaoza ni nani? sasa kuto do na mkeo isiwe ndio sababu ya kutafuta nyumba ndogo. Alieyekwambia kuwa usipotia utaugua ama kufa ni nani? Msaidie mkeo kulea mtoto wenu ili mtoto akujue, akuzoee na akupende. Mwisho be a responsible father
   
Loading...